Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Me nimetembea Dar, at least najua kitu nasema, wewe Nairobi unaionea online tu.
WEWE NI MUONGO. Ondoa uongo hapa Mzee. Umetembea dar wapi!? Wilaya gani, kata gani, mtaa gani!?
Ondoa pyenyenye za kipumbavu na kikenya hapa.
IMG_20210706_200354.jpg
IMG_20210706_200349.jpg
IMG_20210511_200340.jpg
IMG_20210522_131140.jpg
IMG_20210622_131522.jpg
 
Sgr inafanya kazi?
Nairobi interchange zipo kibao
Nairobi ina concrete jungles zaidi ya moja
Nairobi ina millionaires wengi kuliko dar
Recreational parks gani hzo?
Airport sio terminal
Modern stadium ambayo facilities kiduchu
Umeumia tutumie ky?
 
Back
Top Bottom