The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wakuu kuna flyover moja matata sn inajengwa pale karibu na bandarini ile njia ya kwenda Mbagala, haijawahi kuwekwa humu, mwenye picha ya ujenzi aweke humu au mtu akipata nafasi apige picha pale mana patakuwa na view moja matata sn, kuna flyover, BRT na viaduct kama picha itapigwa kwa juu.

