Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukithibitisha hapa ni dar mm nafunga acc jamii forum 😂😂😂😂😂😂😂
Twende pole pole hapa ni dar ama unapingaa
images.jpeg
 
Usiwe unatumia picha za zamani, ni kupakosea heshima hilo eneo bro.. tusijibizane nao tena kwa picha za zamani kwasababu wao kila siku wanaweka picha mpya .. hizo ni picha za miaka 3-4 achana nazo .. tumia hizi 👇View attachment 2021349View attachment 2021350View attachment 2021354View attachment 2021357View attachment 2021358View attachment 2021361haya muite sasa huyu matako Coco reborn. Umpige nondo
Umekuja kumsaidia mwenzako, haya wee hapa ni dar ama unapingaa. Vingunguti machinjioni👇👇
Screenshot_20211123-223048.jpg
Spatial-pattern-of-informal-settlement-in-Kipawa-Ward-Dar-es-Salaam-Tanzania-source.png
 
Aliandika humu anamtuma mtu Dar aje apige picha then amtumie ili azipost humu...tunaelekea mwezi wa pili kama sio wa tatu alietumwa apige picha za Dar amekosa picha mbayambaya so kilichobaki sasa hivi ni kuokota okota picha ili kujifariji.

Stupidi manki.
 
ichoboy01 funga account Sasa huu Uzi umekushinda, final nail on your coffinView attachment 2021368View attachment 2021369
Hahahaha, una matatizo ya akili wewe, Sasa hizi picha ndio nini?, Weka visible photos, wacha woga mbona picha za slums zote za Kenya zinaonyesha hadi mifereji na mazingira halisi, kwanini unaogopa kuweka picha zinazoonyesha uhalisia wa eneo husika badala yake unaweka picha zisizoonekana, hizi picha ni Nairobi sio Dar, kanusha kwa ushahidi.
 
Ndio hizi hapa za Karibu

images - 2021-11-24T064348.770.jpeg
 
Back
Top Bottom