The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wana maisha ya kizamani sana, hii ilikuwa Tz ya mkoloni.
Wana maisha ya kizamani sana, hii ilikuwa Tz ya mkoloni.
Aliyetumwa kaamua kuzamia Dar mazima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliandika humu anamtuma mtu Dar aje apige picha then amtumie ili azipost humu...tunaelekea mwezi wa pili kama sio wa tatu alietumwa apige picha za Dar amekosa picha mbayambaya so kilichobaki sasa hivi ni kuokota okota picha ili kujifariji. [emoji23][emoji23][emoji23]
Stupidi manki.
Hawaipendi kweli kweli miji yao, wanasingizia Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, una matatizo ya akili wewe, Sasa hizi picha ndio nini?, Weka visible photos, wacha woga mbona picha za slums zote za Kenya zinaonyesha hadi mifereji na mazingira halisi, kwanini unaogopa kuweka picha zinazoonyesha uhalisia wa eneo husika badala yake unaweka picha zisizoonekana, hizi picha ni Nairobi sio Dar, kanusha kwa ushahidi.
Hii nayo c Dar au?[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilijua munaitisha picha za Karibu ndio mkane. Tukiwawekea za mbali zinazoonyesha landmarks hamtaki.[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2021522
So fastjet unalinganisha na Atcl, shirika lenye madege ya kisasa kuliko shirika lolote East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi vitisho tuliziskia tangu Enzi za fastjet.[emoji706][emoji706]
😂😂😂😂😂Duh aisee kweli Tony254 alisema kweli kwamba Watz kuna uharo mkubwa wa Kenya hatujaujua, haya ni ma slums mapya kabisa.
Hii inapatikana wapi mkuu?This Airbnb in Dar will Cost you 22 Usd only per Night.
View attachment 2022171
View attachment 2022172
View attachment 2022173
Hii inapatikana wapi mkuu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh aisee kweli Tony254 alisema kweli kwamba Watz kuna uharo mkubwa wa Kenya hatujaujua, haya ni ma slums mapya kabisa.
Huyu ni mbabaishaji Tu🙂 kasingizia eti ana tafuta location nzuri😁😁😁Wakunya kwa kupenda sifa hatari, eti Slum dweller atume mtu kutoka failed state aje Dar kupiga picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana mkuuMasaki Boss.
Fuata hii link upate kiota cha kupumzika mkuu holiday zinakuja.
Ma slums ya Kenya wameyapa jina Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nayo c Dar au?[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022137View attachment 2022138
Dodoma inakimbia sana... Ofisi za Serikali zikikamilika nadhani Dodoma itabidi ianze kulinganishwa na miji ya nje ya Africa Mashariki...
pia nami nime screenshot Thika
Wasubiri mapicha ya kutishaaa, Dodoma inakwenda kuwapiga watu na kitu kizitoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dodoma inakimbia sana... Ofisi za Serikali zikikamilika nadhani Dodoma itabidi ianze kulinganishwa na miji ya nje ya Africa Mashariki...
Pia Dar es salaam ikiendelezwa vyema kwa mipango mizuri basi.
Nairobi ibaki inashindana na Arusha
@Tony254 njoo huku muone jinsi mnavyopika data. Hii inathibitisha ukweli kwamba ninyi ni watu waongo, wazandiki na wajinga SanaMa slums ya Kenya wameyapa jina Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022323View attachment 2022324View attachment 2022325