Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tumekubaliana am jobless..mbona unabaki tu hapo.we umeajiriwa
Siyo kwamba tumekubaliana umekubali wewe ni jobless. Na kama ni jobless unaishi kwa utapeli

jobs.jpg

europarl.europa.eu_.jpg

unemployment-in-kenya.png

mwizi.png
 
naeza ongea juu yangu peke yake..sijui wengine wanatengeneza pesa kivipi.kila mtu na mipangilio yake
anhaa but dunia inapozungumza kuhusu unemployemt rate kubwa kenya usikatae sasa😀😀😀😀😀
 
tatizo mnakosa kuelewa tunajadili nni..hakuna mtu amepinga hiyo taarifa.ninachosema nikua hiyo report inaangalia formal sector.wale ambao wameajiriwa na government na the private sector..kuna wengine wamejiajiri wenyewe kwa sector mbalimbali
 
Your wrong my friend. In our country most of people self employed in agriculture which is not formal. Wewe hapo unafanya deal ambazo hazieleweki. Zinahesabika kuwa ni utapeli na kupiga domo tu.
 
Kwanini unaona aibu kusema kazi yako? So your job is secret? Kazi za siri pekee ni ujambazi, utapeli na kuzamia Tanzania kuja kufanya wizi kwenye supermarket
Kama huyu hapa
mwizi.png

Au ni wewe?
This goes around to send a clear message, Tanzanians hate Kenyans with a passion, and the bile is coz we are always better than you mpende msipende but that's the reality of things
 
Your wrong my friend. In our country most of people self employed in agriculture which is not formal. Wewe hapo unafanya deal ambazo hazieleweki. Zinahesabika kuwa ni utapeli na kupiga domo tu.
mbona unajikanganya ivi kijana.....sasa ivi ulikuwa unasema mtu yeyote ambaye hajaajiriwa lazima awe ni tapeli.saa ii umegeuka umeleewa kuna njia nyingi za kujitengenezea maisha kama ukulima
 
tatizo mnakosa kuelewa tunajadili nni..hakuna mtu amepinga hiyo taarifa.ninachosema nikua hiyo report inaangalia formal sector.wale ambao wameajiriwa na government na the private sector..kuna wengine wamejiajiri wenyewe kwa sector mbalimbali
unaju ukizungumza hvo unakosea nakupa mfano mdogo sana most of Tanzanians are farmers more than 75% so unataka kuniambia wakulima ni employed??????? 😀😀😀😀😀😀😀😀 au wamejiajiri wenyewe
 
This goes around to send a clear message, Tanzanians hate Kenyans with a passion, and the bile is coz we are always better than you mpende msipende but that's the reality of things
Better on what? may be your stupid thus why unaongea hivyo. Tell me who is better between You and me?
 
unaju ukizungumza hvo unakosea nakupa mfano mdogo sana most of Tanzanians are farmers more than 75% so unataka kuniambia wakulima ni employed??????? 😀😀😀😀😀😀😀😀 au wamejiajiri wenyewe
sasa wewe ndio unajichanganya..sikuelewi unataka kumaanisha nni..kwengine mnatuambia more than 45% wako employed kwa formal sector,hapa umeibuka na 75% ni wakulima..which is which
 
Wapi umeambia hivyo? Leta maelezo kamili jobless.
 
acha kudandia treni kwa mbele kijana...haikuelekezwa kwako hiyo taarifa.punguza mihemko ujadili kwa ustaarabu.nmekuuliza swali lako hujalijibu unarukia la mwenzako
 
Back
Top Bottom