saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,170
- 1,356
uache kujidai,,,au unataka niilete iyo comment uone vile umeongea?mayb kiswahili kigumu kwako😀😀😀😀😀😀
uache kujidai,,,au unataka niilete iyo comment uone vile umeongea?mayb kiswahili kigumu kwako😀😀😀😀😀😀
hahahah kiswahili kigumu naona ndugu😀😀😀😀😀😀😀😀mwenzako
Pazii amesema vizuri nkamuelewa sana.wewe unashindwa kujieleza ueleweke.na amesema vizuri farmers ni uneployed meaning hiyo hayo itakua informal.sawa mzee
That is another case. unaposema agriculture employs 75% of the worforce tunamaanisha even those working in milk, juice companies and the like. Agriculture is a very broad thing mzee.Wewe ungesaidia Ichoboy na si ukweli at ni 75% ya umeployed ni farmers... Agriculture employs 75% of the workforce. Farming ni employment kama kazi zingine tu.
hivi ndio nmesemamayb kiswahili kigumu kwako😀😀😀😀😀😀
hahahah so hutaki au unabisha😀😀😀😀😀😀😀😀 narudia kukwambia zaidi ya 75% watazanzia ni wakulima kama unabisha sema tuhivi ndio nmesema
saadeque said: ↑
tatizo mnakosa kuelewa tunajadili nni..hakuna mtu amepinga hiyo taarifa.ninachosema nikua hiyo report inaangalia formal sector.wale ambao wameajiriwa na government na the private sector..kuna wengine wamejiajiri wenyewe kwa sector mbalimbali
jibu lako hili hapa .....
unaju ukizungumza hvo unakosea nakupa mfano mdogo sana most of Tanzanians are farmers more than 75% so unataka kuniambia wakulima ni employed??????? 😀😀😀😀😀😀😀😀 au wamejiajiri wenyewe..
apo umesema nni kama sio 75% ya tanzanians are farmers.jifunze kujieleza kijana
Agriculture is the same thing as farming.That is another case. unaposema agriculture employs 75% of the worforce tunamaanisha even those working in milk, juice companies and the like. Agriculture is a very broad thing mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa...wewe nikapuku.naona watz wenzako wanakusoma apa wakikucheka.wacha nikuitie huyu mwenzako aje akuskie..hahahah so hutaki au unabisha😀😀😀😀😀😀😀😀 narudia kukwambia zaidi ya 75% watazanzia ni wakulima kama unabisha sema tu
Kenyan election isn't like other smaller democraciesRwanda also is in Election lakini hakuna matapu tapu kama ya Kenya. Even na sisi tulikuwa kwenye election 2015 lakini hakukua na uchafu huo.
Demokrasia ya ukabila,bora burundi wamewazidi nyieKenyan election isn't like other smaller democracies
sent from iPhone 7
What do you mean can you please use kiswahiliDo you think your not stupid?
Unajivunia lugha ya mkoloni we mtumwa,na huu ndio ugonjwa wa wakenya wote.What do you mean can you please use kiswahili
sent from iPhone 7
Unemployment Kenya ni kubwa maana sekta kubwa ambayo watu wangetumia kujiajiri ni kilimo ,sasa kama ardhi ya kenya inamilikiwa na kundi ndogo la ma bwanyenye lazima watu warande rande mitaa ya Nairobi na kulala bustani za kupumzika wakiwa na bahasha za kakipersonally am an engineer by profession but sijaajiriwa na private sector wala serikali...napiga deals zangu tu na nala hela ndefu kulio walio ajiriwa