Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Mulizisahau wakati hakuna ukame,lakini kukiwa na ukame vipi mtazisahau?acha upimbi
kwani kwenye hii nchi Rais alikuwa ni magufuli peke yake?
hizi mambo za kukatika katika kwa umeme hovyo tulishazisahau haya mambo yalikuwa enzi za kikwete,
kwa kuwa kikwete amekuja kuongoza nchi kivingine tutegemee mengi tu kutokea na wewe kama panya utakuwa ni shahidi namba moja kushuhudia na kunasa kwenye mtego wenye nyama,picha ndiyo kwanza limeanza kila kiongozi anamapungufu yake hivyo kuna mazuri na mabaya siyo unakuja hapa kusifia mambo kitoto
Pimbi ni wewe na yule mtu wenu mliyekuwa mnamlamba nyayo,saizi mama kaacha watu watumie bongo zao kufanya Kazi ndio maana mambo yanaenda.
Hata huo umeme by June next year hizo mambo zitaisha kuwe na ukame au usiwepo.

