Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maendeleo ya Tanzania yanawauma sn wakunya, mpk ss uchaguzi wenu case study itakuwa ni maendeleo ya Tanzania.

Wakenya hamna akili
Taga
Screenshot_20211120-093539.jpg
 
The fact that Kenya haipo katika hii list na Tanzania kuandikwa mara mbili, hii ni fake, lazima Kuna mkenya amefanya "editing"
MY friend na sio kwa ubaya, ni vile tu nyie wa tz mnapenda sana ubishi ..lakini kwa kusema kweli...kenya ni nchi imeendelea saaana hapa afrika...saana..
 
Imeendelea kwenye nn hebu tuambie, kwamba kuna modern infrastructures like BRT system or electric sgr or modern bridges like cable stayed bridges? Au Kenya imeendelea kwamba njaa imeisha? Mana nchi zote zilizoendelea huwezi kukosa hizo infrastructures, na huwezi kukuta njaa kwa nchi zilizoendelea.

So hivyo ndivyo vielelezo vya nchi kuendelea na co flyovers mana zimejaa kibao hata nchi maskini cku hz zinajenga flyovers.

Labda anamaamisha imeendelea kwenye kupika data na kupokea misaada ya chakula karne hii ya 21!
 
Jamaa hawana akili kweli, eti Kenya imeendelea

Maslums yamejaa kila kona alafu Kenya imeendelea

Raia wanakufa kwa njaa, umeme tu wanategemea cc tuje kuwauzia JNHPP ikikamilika, chakula tumejaza mashelf yao kwa bidhaa za Tz, mda si mrefu wataanza kuja kutibiwa Tz mana hakuna jinsi wanaweza fanya, alafu mtu anajiongopea wameendelea

Mbn cc tuna kila sababu ya kujiita tumeendelea kwa ss Mana tuna vitu vingi ambavyo huwezi kupata nchi yyte East and Central Africa lkn hatujiiti tumeendelea, na pia hatuna njaa lkn hatusemi tumeendelea.

Hao wachina tu wanasumbua mataifa makubwa duniani kwa sasa na hawasemi wameendelea

Wallahi Wakenya hawana akili
 
Mkoloni aliondokaga na akili za wakunya.
 
Imeendelea kwenye nn hebu tuambie, kwamba kuna modern infrastructures like BRT system or electric sgr or modern bridges like cable stayed bridges? Au Kenya imeendelea kwamba njaa imeisha? Mana nchi zote zilizoendelea huwezi kukosa hizo infrastructures, na huwezi kukuta njaa kwa nchi zilizoendelea.

So hivyo ndivyo vielelezo vya nchi kuendelea na co flyovers mana zimejaa kibao hata nchi maskini cku hz zinajenga flyovers.

Wakenya hamna akili
Umesahau modern bus stations na modern airport pia
 
imagine tulikuwa na ndege moja..
na tulisimangwa sana hasa na hawa majiran wenye njaa wa kaskazin
Leo tuna ndege brand new tupu ambazo wao hawana, shirika lao linalomilikiwa na foreigners and Mama Ngina family linatafuna pesa za tax payers, wao nchi nzima imebaki na ndege 3 chakavu wataongea nn ss, wacha tuwauwe kwa masimango
 
Back
Top Bottom