Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi niliposikia tuu Tanzania haiwezi kuwa kisiwa, nikajuwa tumeliwa hapa, ila nikasema tuu kiubinadamu wacha tumpe muda. Kweli watanzania hatuna bahati, mbona nchi kama China na Singapore, walipata viongozi wenye maono na wakakaa muda mrefu na kubadilisha jamii zao, kwa nini sisi tuu?
Kiongozi asiejua umhimu wa kulitumikia taifa CIO kwamba si mzalendo ila ni ujinga upumbavu na uselfish tu...
Viongozi wengi hii nchi wamekulia familia za
Kishua sana Hawajui shida yaani wapo wapo tu
 
We mbona unajitia ujuaji,na hujui chochote.? Unabishia ukweli.? Haya nakupa faida.. 1.. ujenzi wa barabara za lami 51km kwenye mji wa serikali 👇View attachment 2008419View attachment 2008418kwasasa hapo kuna ujenzi wa ministry zote za Tz, majengo 24 yenye gorofa kuanzia 6-12 yanajengwa hapa kwenye huu mji, facilities tofauti tofauti kama recreational parks and Malls.. by the way Dodoma pia kuna ujenzi wa ofisi tofauti tofauti za serikali zilizoisha kujengwa hivi karibuni na zinazoendelea kujengwa.. jengo la makao makuu ya NEC 👇View attachment 2008422OSHA👇View attachment 2008428OFISI YA Takwimu 👇View attachment 2008429PSPF DODOMA HQ👇View attachment 2008430View attachment 2008431LAPF DOM HQ👇View attachment 2008432Miradi mikubwa ya stendi 👇View attachment 2008450View attachment 2008451SOKO KUU DOM👇View attachment 2008452View attachment 2008453stendi ya Malory 👇View attachment 2008454and many more projects that are under way. 👇View attachment 2008433View attachment 2008437mfano hili lilikua ni jengo la uhamiaji 👇DomView attachment 2008438ujenzi wa UHAMIAJI HQ DOM👇View attachment 2008439View attachment 2008440also kuna housings projects zinazoendelea, huu👇 ni ujenzi wa nyumba 1000 unayofanywa na shirika la Nyumba la taifa HNC View attachment 2008444View attachment 2008445View attachment 2008446View attachment 2008447and recreational park (Chinangali recreational park) the largest multi purpose recreational park in EA 👇View attachment 2008455View attachment 2008456 many more.. AND this is old Dodoma CBD that you have no an idea of..👇View attachment 2008441View attachment 2008442View attachment 2008443View attachment 2008448View attachment 2008449hiv ni vitu vichache ambavyo nimefanikiwa kukupatia picha zake.. lakini ujue tu .. kuna DOM outer ring road 112km dual carriage way U/C,
2. Dom international airport
3. Dom international stadium
4. Dom indoor Arena
5.ikulu kubwa EA
n.k .. vitu ni vingi baba .. here I have a bonus video showing the most beautiful Political party's conference center in EA 👇 . NB uache kutusemea we fala .. eti ooh Dom sijui ni capital city yenye haina lami 😂😂 Kumbe hujawahi kufika na hujui chochote nyoko wewe.. Kuna mji wowote nje ya NAIROBI unawezana na DOM .. nawauliza nyie Don YF Tony254 Nicxie nairobae NairobiWalker .. nataka mkiamka tu mje na majibu sahihi

View attachment 2008417

Thanks for the pictures, now see how Dodoma roads ni vumbi tupu.

2997929_Eqnzp6YXAAAODmk.jpg
 
Sama boy 255 Hii picha inaonyesha jinsi hamna skyscrapers au majengo marefu mahali pengi isipokuwa cbd yenu pekee. Sasa ona picha kama hii hapa ambapo hakuna skyscraper hata maja. Majengo yote ni mafupi tu kama mchwa.

2997962_789-1536x1024.jpg
Hiyo residential area, sio sehemu ya biashara, unataka hata kwenye makazi ya watu kiwe na skyscrapers .?
 
Mimi niliposikia tuu Tanzania haiwezi kuwa kisiwa, nikajuwa tumeliwa hapa, ila nikasema tuu kiubinadamu wacha tumpe muda. Kweli watanzania hatuna bahati, mbona nchi kama China na Singapore, walipata viongozi wenye maono na wakakaa muda mrefu na kubadilisha jamii zao, kwa nini sisi tuu?
Watu wengi wa mtaani kwangu na kazini wanawish Kassimu atafaa zaidi 2025
 
Kwanza Kampala na Kigali zimepiga Dodoma kama mbwa koko. Kwa hivyo ujue Dodoma bado mtoto mdogo mbele ya miji mikuu mingine hapa AM. Serikali yenu imehamia Dodoma juzi tu wakati wa Magufuli kwa hivyo Dodoma bado haijajengeka kama miji mikuu ya Uganda au Rwanda. Halafu asante kwa kupost picha nyingi za Dodoma angalau unatufunza mengi kuhusu mji huu ambao hauna lami sehemu nyingi. Picha zenyewe ni nzuri na zinafunza mengi. Ipe Dodoma miaka kumi ndio itaanza kushindana na Kigali. Miaka ishirini ndio itaanza kushindana na Kampala.
The best 007 ulikuwa unakejeli barabara za Kenya kwa sababu Kenya ina mchanga mwekundu sasa mbona naona Dodoma pia ina mchanga huo mbaya mwekundu ambao huupendi.
Bro achana na DOM kabisa after 5 to 10 years DOM itakua inaingia top 3 list ya miji iliyojengwa, mizuri na yenye maendeleo zaidi EA, believe it or not.. kwasababu Infrastructure zinazoendelea kujengwa DOM ni nyingi mnoo me nimeonyesha chache tu ninazozijua, DOM sio ya kawaida kabisa, hiyo Kigali tutaipita mara tatu kwasababu it's a tiny town compared to DODOMA, watu wanajenga sana DOM .. fanya uje utembee bro ujionee mwenyewe, wabunge wenu walikuja mwaka juzi na wenyewe wali sanda
 
Kwani hiyo picha moja ni mimi nd`o nimeipost hapa ama ni wewe?
Ila habari unayo DOM sio ya mchezo kijana, niletee neighborhood yenye wanaishi watu wa kawaida(kama hiyo niliyopost Mimi) yndani ya Mombasa nicheke😂😂😂, au nikusaidie kupost.?
 
Wakiambiwa hao pamoja na kina Burundi ,Somalia na Congo ni kundi Moja hawataki kuskia....Yaani ufukara umezidi licha ya Nchi ya madini..now this is good example of being lazy..

Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​


The fact that Kenya haipo katika hii list na Tanzania kuandikwa mara mbili, hii ni fake, lazima Kuna mkenya amefanya "editing"
 
Wakiambiwa hao pamoja na kina Burundi ,Somalia na Congo ni kundi Moja hawataki kuskia....Yaani ufukara umezidi licha ya Nchi ya madini..now this is good example of being lazy..

Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​


The fact that Kenya haipo katika hii list na Tanzania kuandikwa mara mbili, hii ni fake, lazima Kuna mkenya amefanya "editing"
 
Alot involves in building a city boss city si Kijiji you just build now most roads are done the sewage systems is done and now even the real estate agents are marketing there plots there as fully serviced plots water electricity roads sewage system all ready all you have to do is build since the crucial part is over now raising buildings wount take more than two years View attachment 2008606View attachment 2008607View attachment 2008610View attachment 2008611View attachment 2008612View attachment 2008613View attachment 2008614

Soda we already have several towns that can beat it hands down konza ikiisha you can't compare with Dodoma inayo kengwa kijua kali konza is a modern technology city... With a full data center

Bro a good town or city it's not the buildings don't be a fool. The infrustracture matter alot you can have a beautiful city but no drainage system when the rains come it all floods which is stupid So a good city needs good foundation so don't be fooled by visuals hizo zinakuja FOr now be impressed by the kind of emphasis that has been taken to service the city the roads drainage water and electricity with such good preparation and planning when the buildings start rising it will be a master piece
😂😂😂 Jamaa unabweka tu kama mbwa kichaa, uliza uambiwe, Acha kujifanya unajua .. DODOMA GOV City ni Smart City bro, after it's accomplished hata nyaya za umeme zitakua chini ya Ardhi .. hii ni video inayoenyesha msimamizi wa mji wa serikali akieleza miundombinu itakayo patikana ndani ya DODOMA new government City 👇. Fikra zenu zinavyowatuma wapumbavu nyinyi ni kwamba sisi hatuwezi fanya vitu Smart..
 
Back
Top Bottom