The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Asante kwa kukubali kwamba serikali ya Kenya haina pesa ndio maana majolity wanakufa kwa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ni Tanzania pekee inayotoa chakula hii Dunia? Hivi nikiwa na pesa nitakosa pa kununua chakula kisa Tanzania imekataa kuniuzia chakula? Mbona unafikiria kama mburukenge?[emoji1787][emoji1787]
Mkuu mbona swali la akili unajibu kwa kutumia miguu.We shoooga unamuuliza nani ilo swali? kamuulize mkeo mjambiani na wapumbaavu wenzako ,sisi siyo mazuzu
ina kaa table mountains ya capetown sana humuHii siyo render wala siyo Dar es Salaam. This is Mbeya [emoji4][emoji4][emoji4]
View attachment 2016005
Which project is this?Mtateseka sana na Nairobi hii...haijasimama kama dar slum,inajengwa usiku na mchanaView attachment 2015668View attachment 2015669
Hata mimi pande yangu si hivyoo!!!Ile ya asbh to jioni sijaiona kbs!!!Wakuu haya mambo ya umeme kukatika na maji kutokuwepo naanza kuhisi huenda ni propaganda za kisiasa tu, mbn sioni huo mgao? Au utakuja soon mana mm naona kawaida tu, umeme unakatika mara chache sana per week, au mm cjaelewa hapa? Hebu nielewesheni huko kwenu vipi.
Mkuu punguza chuki za kijinga,mnatoa maana ya huu uzi kwa chuki zisizo na sababuWe shoooga unamuuliza nani ilo swali? kamuulize mkeo mjambiani na wapumbaavu wenzako ,sisi siyo mazuzu
Every big project starts with renders. GTC was a render at some point, mwishowe ilijengwa.Mzee wa render, hujawahi kuweka uhalisia hata cku moja, wewe ni render tu asubuhi, mchana, jioni na Tecno yako. Hakuna render hata moja iliyogeuka uhalisia.
Hii sio msa kumbe?kwenye maneno kumi chukua moja uondoke 😀😀😀😀😀😀😀View attachment 2015991View attachment 2015992
Acha upumbaavu sasa anatuuliza sisi tumsaidie nini kumpa jibu yeye si alisema hii serikali ni boraMkuu punguza chuki za kijinga,mnatoa maana ya huu uzi kwa chuki zisizo na sababu
Swali la kipumbavu sisi ndiyo ilitakiwa tumuulize yeye ilo swali ili atupe jibu......ni sawa sawa na waziri wa nishati atuulize wananchi mbona kuna mgao wa umeme ....wewe utamjibu vipiMkuu mbona swali la akili unajibu kwa kutumia miguu.
Hii route ni muhimu sana wangeiongezea na ya kishansa
Una mihemko ya kijinga sana,acha ushamba huo,jukwaa la siasa lipo nenda huko,hapa apahusiani na siasa zenuAcha upumbaavu sasa anatuuliza sisi tumsaidie nini kumpa jibu yeye si alisema hii serikali ni bora
Wakuu haya mambo ya umeme kukatika na maji kutokuwepo naanza kuhisi huenda ni propaganda za kisiasa tu, mbn sioni huo mgao? Au utakuja soon mana mm naona kawaida tu, umeme unakatika mara chache sana per week, au mm cjaelewa hapa? Hebu nielewesheni huko kwenu vipi.
Nasema ukweli, nilipo umeme upo 24 hours wala haukatiki.Wakuu haya mambo ya umeme kukatika na maji kutokuwepo naanza kuhisi huenda ni propaganda za kisiasa tu, mbn sioni huo mgao? Au utakuja soon mana mm naona kawaida tu, umeme unakatika mara chache sana per week, au mm cjaelewa hapa? Hebu nielewesheni huko kwenu vipi.
C ndo nashangaa, hii nchi kuna watu wanaakili sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasema ukweli, nilipo umeme upo 24 hours wala haukatiki.
Na nipo kwenye moja ya jiji tena mjini kabisa.
Labda ni baadhi ya sehemu ndo kuna matatizo ya umeme kukatika ovyo.
Peleka malalamishi yako African Development Bank. Hii kelele unapiga hapa jf haitabadili chochotenarudia tena,sisi hatudili na makaratasi mzee,
tunadeal na reality
muache ujinga wa kueneza porojo na propaganda kwenye website paper
[emoji23][emoji23][emoji23]C ndo nashangaa, hii nchi kuna watu wanaakili sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lazima mtu afe nje ndio awe maskini? Kwa hivyo wewe hapo ambaye hujafa njaa ni tajiri?Onesha mahali kuna maskini wa Tz anakufa njaa nikuoneshe maelfu ya Wakenya waliokufa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenifungua machoHujaona Tumenunua magari ya kubebea mizigo zaidi ya 300 unategemea nini ?