Hiyo fukwe haikuwa chafu hivyo miaka ya 90 tazama ukungu hadi maji yamekuwa giza pia tazama hivyo vibanda vimejengwa vimepinda kutoka usawa wa barabara pia ona uchafu ambao hauna sababu ya kutokusafishwa ,tazama pembeni ya hivyo vibanda ni kuchafu sana hata video ipo ,na mama katembelea hilo eneo pakiwa pachafu hivyo hivyo kipindi cha magufuli hapo pangewaka moto maana wangejua kwanini jpm alipo pata uraisi tu alitoka kusafisha uchafu mitaroni .lakini huyu raisi tuliye naye ni kipofu yaani kafika hapo ajaumizwa na huo uchafu !!!!??? Hata hiyo barabara imepindishwa pindishwa bila ya sababu msingi ipo kama mnyooo,sehemu nyingine nene nyingine nyembambaKwa nini mkuu Lwiva
Kwenye uchafu walisema hilo eneo pembeni watafanya pavement na kuiacha fukwe ikipendeza zaidi na ndiyo lengo la kujenga hyo road, nadhani tusubiri kwanza tuone, mana hawawezi kupajenga hivyo zen wakaacha mazingira yawe machafu, kuhusu vibanda sina la kusema kama watavitoa sawa na kama wataviacha pia sawa mana havija cover eneo kubwa wamevijenga hivyo nadhani kuacha muonekano wa coco uhakisi mazingira ya kiafrika japo kdg.Hiyo fukwe haikuwa chafu hivyo miaka ya 90 tazama ukungu hadi maji yamekuwa giza pia tazama hivyo vibanda vimejengwa vimepinda kutoka usawa wa barabara pia ona uchafu ambao hauna sababu ya kutokusafishwa ,tazama pembeni ya hivyo vibanda ni kuchafu sana hata video ipo ,na mama katembelea hilo eneo pakiwa pachafu hivyo hivyo kipindi cha magufuli hapo pangewaka moto maana wangejua kwanini jpm alipo pata uraisi tu alitoka kusafisha uchafu mitaroni .rakini huyu raisi tuliye naye ni kipofu yaani kafika hapo ajaumizwa na huo uchafu !!!!??? Hata hiyo barabara imepindishwa pindishwa bila ya sababu msingi ipo kama mnyooo,sehemu nyingine nene nyingine nyembamba
Ndo alivyokufundisha Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kilianzia Mombasa.
Uchafu upo hadi kwenye mchanga wa bahariKwenye uchafu walisema hilo eneo pembeni watafanya pavement na kuiacha fukwe ikipendeza zaidi na ndiyo lengo la kujenga hyo road, nadhani tusubiri kwanza tuone, mana hawawezi kupajenga hivyo zen wakaacha mazingira yawe machafu, kuhusu vibanda sina la kusema kama watavitoa sawa na kama wataviacha pia sawa mana havija cover eneo kubwa wamevijenga hivyo nadhani kuacha muonekano wa coco uhakisi mazingira ya kiafrika japo kdg.
Kuhusu road kupinda, haijapinda bali imefuata geomorphological structure ya eneo, hizo sehemu unazoona kama zimepinda ni vi parking vdg vdg, all in all tusubiri ujenzi uishe kabisa mkuu.
Unaelewa kwa nini walitumia software?Max zimesharekebishwa tatizo sio muundo bali ilikuwa ni software inayoruhusu ndege kufanya manouvre angani imeshabadilishwa na kupitishwa na FAA. Kila kampuni duniani wanakimbilia kununua hizi ndege maana ni nzuri kibiashara.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwenye uchafu walisema hilo eneo pembeni watafanya pavement na kuiacha fukwe ikipendeza zaidi na ndiyo lengo la kujenga hyo road, nadhani tusubiri kwanza tuone, mana hawawezi kupajenga hivyo zen wakaacha mazingira yawe machafu, kuhusu vibanda sina la kusema kama watavitoa sawa na kama wataviacha pia sawa mana havija cover eneo kubwa wamevijenga hivyo nadhani kuacha muonekano wa coco uhakisi mazingira ya kiafrika japo kdg.
Kuhusu road kupinda, haijapinda bali imefuata geomorphological structure ya eneo, hizo sehemu unazoona kama zimepinda ni vi parking vdg vdg, all in all tusubiri ujenzi uishe kabisa mkuu.
Nani kakuambia kuna mgao wa umeme, muulize mwalimu MK254 anaishi Tz miaka nenda rudi ataki kurudi huko, muulize kuhusu mgao akuambie.wazee wa dar is slum...kunaendaje hukoo kwa ka mgao ka umemee....genereta zinarindima jijini koteee mazee dah!!!
Airbus 2 zilishalipiwa down payment, sidhani kama zimeondolewa by the way Mama anaipenda sana🙂Mm hapa bado sijaelewa, kwamba wamebadili Airbus kwa Max au hizo Max ndiyo ingizo jipya la mama mana hizo za kwanza zote ni za awamu ya tano.
***** bonge la viewDaraja linakuumiza kichwa hilo, huamini macho yako [emoji23][emoji23][emoji23].. owky endelea kuumia kidogo [emoji116]View attachment 2015207daraja lingine[emoji116]View attachment 2015209and guess what, haya Madaraja hapa DSM yatajengwa matatu, mawili kama unavyoyaona, bado moja, utaumia sana mdogo angu, mambow ndio kwanza yameanza ..
Kwahiyo tutakuwa na ndege 18 brand new na co 16 mana Max zitakuja mbili.Airbus 2 zilishalipiwa down payment, sidhani kama zimeondolewa by the way Mama anaipenda sana🙂
Nadhani Max ni order mpya, so in total hapa tunazungumzia ndege mpya 7.
narudia tena,sisi hatudili na makaratasi mzee,Ukweli kama hizi ndio hampendi mkiambiwa
View attachment 2014594
Africa’s Middle Class Triples to more than 310m over Past 30 Years Due to Economic Growth and Rising Job Culture, Reports AfDB
The number of middle class Africans has tripled over the last 30 years to 313 million people, or more than 34% of the continent’s population, according to a new report from the African Development Banwww.afdb.org
This is what part of that AfDB report says:
View attachment 2014603
Number mtazidi kusoma sana
muache porojo za mutandaoni wakati reality yenu ni njaa tupu fake lifeHiyo reality baki nayo akilini mwako where it exists
Mimi nachofahamu walikuwa wamepanga Idadi ya ndege ziwe kwa mfumo wa Pyramid kulingana na ukubwa wa ndege lakini mpaka sasa Pyramid yetu haijakaa sawa. Hizo B737-9 Max zinatakiwa ziwe nyingi kuliko B787-8 labda kama kuna muendelezo wa ununuzi wa ndege nyingine baada ya hizo order kuwasili nchini.Kwahiyo tutakuwa na ndege 18 brand new na co 16 mana Max zitakuja mbili.
Hehehehee ndio naona hapa Tanesco kupitia ofisa wao eti wanasema kabisa "Watanzania tujiandae kwa mgao wa umeme" ss swali langu ni kwamba, je huu mgao ulisubiri Magufuli afe ndio maji yakauke? Ukweli ni kwamba kuna mchezo mchafu huwa unachezwa na Tanesco ambao Magu aliutaja hadharani kwamba some corrupt Tanesco officers wanalipwa pesa wanayafungulia maji ktk bwawa wanayaruhusu kumwagika usiku zen bwawa linapungukiwa maji zen power rationing, baada ya hapo watu wanafanya biashara ya mafuta na majenereta.
Ndio maana mm niliumia sana yule mzee alipofariki, wanasema alituacha salama lkn ukweli ni kwamba hakutuacha salama, alituacha kati kati ya hatari, watu wamerudisha michezo ile ile, nachelea kutafakari kama JNHPP itatusaidia, mafisadi hawapendi kabisa huu mradi mana utawakosesha pesa za bure.
Mama haambiwi ukweli, au anaambiwa ukweli lkn huenda naye ni mmoja wao au huenda hajui ku integrate, tutamkumbuka sana jemedari.
ni shida mkuuhaya ndio maisha mkenya anaishi alooo sijui kama nguruwe anaeza survive aloo inatisha