Dsm ndio inapata madaraja karne hii sio, yani kiufupi ndio mumeamka toka usingiziniDaraja linakuumiza kichwa hilo, huamini macho yako [emoji23][emoji23][emoji23].. owky endelea kuumia kidogo [emoji116]View attachment 2015207daraja lingine[emoji116]View attachment 2015209and guess what, haya Madaraja hapa DSM yatajengwa matatu, mawili kama unavyoyaona, bado moja, utaumia sana mdogo angu, mambow ndio kwanza yameanza ..
Andika tu kw kiswahili mzeeHivi una habari uchaguzi umekaribia? Where are you going to hide darling, polisi will be killing each and everyone of you.
Sasa Ulikua unatarajia Wajenge Ndani ya Mbuga? Ama Umesahau Nairobi National part iko 10km south of Nairobi?[emoji23].View attachment 2015186Hapa ni Nairobi km 10 kutoka CBD baada ya miaka michache tutaanza Dodoma vs Nairobi
Infrastructures za Kenya ni za kitoto.Sasa Ulikua unatarajia Wajenge Ndani ya Mbuga? Ama Umesahau Nairobi National part iko 10km south of Nairobi?[emoji23].
Dodoma itafika hapa 2099[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 2015225View attachment 2015226View attachment 2015227View attachment 2015228View attachment 2015229View attachment 2015230View attachment 2015231
Infrastructure za Kenya ndio za kisasa my friend. Hata ukiangalia gorofa Nairobi na ulinganesha na Dar Nairobi iko mbele zaidiInfrastructures za Kenya ni za kitoto.
You just show me childish Infrastructures.Infrastructure za Kenya ndio za kisasa my friend. Hata ukiangalia gorofa Nairobi na ulinganesha na Dar Nairobi iko mbele zaidiView attachment 2015247View attachment 2015245View attachment 2015246View attachment 2015252
Andika tu kw kiswahili mzee
Ndo ataondoa njaa iliyo Kenya
Hivi hawa kcb ya jirani hawajengi hata mdule wao ni kupanga tu.Sasa na hiyo financial district ikianza kujaa mbona itakuwa balaa maana naona crdb tayari kashaweka kitu hapo tunasubiria banks nyingine pia
Kila siku nakwambia acha ukicha wakuparamia usicho elewa, mwenzio alileta ako kapicha akizani ni better kumbe mafii, na ww umekuja tena unasem nimesema hii ndio better[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]...tuko na vitu better zaidi apo kunya akuna cha kuniambia...by the way am not a corter fan[emoji706][emoji706]Imebidi nijibu this ignorance.., eti hizi mitaa ya Nax Vegaz ni best? [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua mitaa ya kifahari in Nakuru wewe., sikuweka humu kilaza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] they are not here., [emoji116] [emoji116] [emoji116] , hadi raha, ndio mjue Kenya sio size yenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Harufu ya mafiii ya kibera yamekulevyaDaraja lenu ni dwarf mzee hata uruke tuke vipi wala ukweli hautobadilika[emoji1787][emoji1787]
Naona kaweka lugha ya kishamba hapo ya kiswahili. Lugha ambayo ni very local haipo international level
πππ Nairobi kuna Madaraja sindio.?Dsm ndio inapata madaraja karne hii sio, yani kiufupi ndio mumeamka toka usingizini
Kwenda. Hicho ni kiswahili cha Kenya. Huku hatukithamini kiswahili chenu mbovu.Naona kaweka lugha ya kishamba hapo ya kiswahili. Lugha ambayo ni very local haipo international level
Teh kiswahili ni kiswahili tu. Ni lugha ambayo haipo international level na inaongelewa na watu wa Tanzania tu ambao hawana exposure kwenye international community.Kwenda. Hicho ni kiswahili cha Kenya. Huku hatukithamini kiswahili chenu mbovu.
Hii ni mgr tu mkuu inaikimbiza sgr ya kunyaland,can't wait to see vichwa vyetu vya sgrSisi tunafkiria jinsi ya kuitawala Africa mashariki na kati nzima, wao wanafkiria jinsi ya kutuzuia π
Kwa hivyo Wakenya hawaongei Kiswahili.Teh kiswahili ni kiswahili tu. Ni lugha ambayo haipo international level na inaongelewa na watu wa Tanzania tu ambao hawana exposure kwenye international community.