Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are just like your fellow Tanzanians in here. Hamna tofauti kabisa. Haya madai yote umetoa wapi? Akilini kama wenzako wanavyofanya ama?
hatupo kwenye paper sisi tupo in reality ,,hiyo kazi ya kupachika utopolo na kujiongezea mambo tumewaachia nyie wadogo zetu ili mfiche uchokoraa wenu
 
Nimeleta data ya 2019 ndio utumie akili kidogo. Kama hiyo data ya 2019 inazidi data yenu ya 2021 si hapo nikutumia tu akili na kunyamaza? You shouldn't open your filthy mouth all the time
Kwahiyo na corona ilivyowapiga unategemea cargo volume kuongezeka? Wakenya hamna akili.
 
Ule mzigo wa Vichwa vya treni vya MGR ndo unapokelewa live na TRC vile vichwa vinavyofanana na vya SGR ya majirani!!
Mkuu tafadhali sn mkuu, hivyo vichwa ni vzr usifananishe na mitungi, hata Wakenya wamefurahi ulivyosema hivyo na watarudi kule kwenye cost comparison.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…