Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Hiyo battle imewahi kufanywa wapi.? au unaogopa.? Yani battle ya Over ten floors buildings in DOM vs any of your so called City, exclude NAIROBI &MOMBASA ...? unaogopa.? DOM Iko na old CBD, New CBD under construction & DOM government City(Smart City).. kabla hiyo miji miwili (gov city & Dom new CBD) ikamilike, I'm 100% sure hakuna jiji lenu lolote kuanzia Kisumu kushuka chini inawezana na DOM when it comes to buildings especially those ones with over 10 floors & beautiful buildings.. kama unabisha twende groundWhy keep on repeating the same thing na tukiwashinda mtabadilisha tu goli? 🚮 🚮
Investors wameogopa vita vya ukabila Kenya, alafu hyo ni project kubwa so inachukuwa muda mrefu usifananishe na vimiradi kama expressway.Kama Uganda wangepitisha hio pipeline yao Kenya saa hii hio pipeline ingekuwa inatoa mafuta. Lakini walijifanya wajanja wakaamua kupeleka pipeline yao kwa Malazy. Sasa ona bado pipeline imwekwama. Kenya ni watu wachapa kazi, kama wangeileta huku kazi ingekuwa imeisha na pipeline ingekuwa imekamilika.
SGR inafika lini Malaba? Talking about being lazy.Kama Uganda wangepitisha hio pipeline yao Kenya saa hii hio pipeline ingekuwa inatoa mafuta. Lakini walijifanya wajanja wakaamua kupeleka pipeline yao kwa Malazy. Sasa ona bado pipeline imwekwama. Kenya ni watu wachapa kazi, kama wangeileta huku kazi ingekuwa imeisha na pipeline ingekuwa imekamilika.
Nakwambia sina huo muda maanake it would lead to nothing. I know you. You'll simply shift goals. Otherwise Kisumu and Eldoret all have more 10+ buildings than Dodoma. Nakuru would too but unfortunately, buildings that tall are banned in Nakuru due to siesmic reasons (Google that, you are a Tanzanian, you obviously don't understand it). 🚮 🚮Hiyo battle imewahi kufanywa wapi.? au unaogopa.? Yani battle ya Over ten floors buildings in DOM vs any of your so called City, exclude NAIROBI &MOMBASA ...? unaogopa.? DOM Iko na old CBD, New CBD under construction & DOM government City(Smart City).. kabla hiyo miji miwili (gov city & Dom new CBD) ikamilike, I'm 100% sure hakuna jiji lenu lolote kuanzia Kisumu kushuka chini inawezana na DOM when it comes to buildings especially those ones with over 10 floors & beautiful buildings.. kama unabisha twende ground
Mara ya mwisho shambulio la ugaidi lini?Bro terrorism ndio iliwapea advantage
Hii ss ndio Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi ikikaririwa na CCM ni tofauti na Nairobi kwa ground.
Hapa ni Kangemi slums. 70% ya barabara ambazo zimekatiza ndani ya slums zina cabro pavement kufikia November 2021 na bado mradi wa kueka kabro kwa kila barabara ndani ya slum unaendelea. Tembea Nairobi ujione mwenyewe. View attachment 2010008
Kaamua kujilipua leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barabara za Kangemi slums ni nzuri kuliko za Dodoma cbd [emoji23][emoji23]View attachment 2010013
Wewe basi wachaaa, unaumiza Wakenya wenzako, umeona hawatoi hata like, basi basi inatosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makelele ya hayo ma diesel engine yatawapa hao wanyama heart attack, matokeo yake watakimbilia Tz siku za usoni.SGR snaking through the Tsavo National Park View attachment 2010175
Huko sio kijitonyama middle class, hapa ni Kangemi slums Nairobi. Una shida the worst 007?Kaamua kujilipua leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa huyu tubarabara mbona tumejazana ktk mitaani mfano mitaa ya mwananyama, tena sio paves ni zege...Barabara za Kangemi slums ni nzuri kuliko za Dodoma cbd [emoji23][emoji23]View attachment 2010013
Mtungi a.k.a Gobole[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SGR snaking through the Tsavo National Park View attachment 2010175
Leta picha wacha kukariri.Sasa huyu tubarabara mbona tumejazana ktk mitaani mfano mitaa ya mwananyama, tena sio paves ni zege...
Yametimia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
One project country [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Edge of the cirryView attachment 2010399View attachment 2010400
Leo mnaji expose wenyewe, hivi sasa ndiyo vile vipicha vya upande upande anavyoletaga Nicxie naona leo umemvua nguo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo suburbs za Dar zipostiwe tuzione leo. Tumechoka kuona picha za CBD.
View attachment 2010510
View attachment 2010514
View attachment 2010516
View attachment 2010515
Sema tu hamna cha kuonyesha, wacha maneno mingi.Leo mnaji expose wenyewe, hivi sasa ndiyo vile vipicha vya upande upande anavyoletaga Nicxie naona leo umemvua nguo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
alafu hawa ma fala wanasifia sana dodoma.Fundi kitasa game over for konza see detailed progress there konza has already reached the second phase too and it's progress now is very stable