Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20211109-213402.jpg
 
Kwa badae uko itawezekana ila kufika revenue ya $7b kupitia utalii tujipange sana...tuendelee kuwekeza uko
Inawezekana sana, mbona wakenya tuliwazidi kwa kuvutia watalii wachache ila tuliwatoza pesa nyingi?

Ukifanya upsell kwa watalii waliopo kwa kuwafanya watumie pesa nyingi zaidi unaweza kuongeza hata mara tatu hiyo $2.6B ndani ya mwaka tuu.

Saikolojia ya mteja ni kuwa ni vigumu sana kukuamini kukupa pesa yake mara ya kwanza, lakini baada ya hapo huhitaji kutumia nguvu nyingi kumuuziua huduma/bidhaa nyingine ya gharama kubwa zaidi.
 
Kusema ukweli me sijawai skia Tanzania imetajwa mahali kwa mchezo wa golf hapa Africa. 😂😂😂
There is a time they hosted a tournament in some hotel, Kenyans were participating., ila they are not enthusiasts, in many golf tournaments held, Uganda are more active than malazy.., like the recent Kenya open..,
 
Our top five towns ziko league yao, zinweza ku level with Dar in some sections.., miji yenu kama Mwanza, Arusha, Dodoma etc in residentials haiwezi level na towns kama Machakos, Thika, Kajiado, Kiambu na areas za Ruaka still in Kiambu not at all..., Wenzako wanajaribu tu kutetea Tz lakini bado sana despite our challenges, towns zetu ziko na standards.., do comparison using a comp or tablet where u can see clearly screen ya phone ni ndogo to observe clearly..,
Arusha city..picha ya mwisho ni residential
C5gCbJrWMAAVFrD.jpeg.jpg
142821510-aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania.jpg
aerial-view-city-arusha-tanzania-143741201.jpg
aerial-view-city-arusha-tanzania-143741609.jpg
depositphotos_352040070-stock-photo-aerial-view-city-arusha-tanzania.jpg
5e9f0dd603fd9.jpeg.jpg
 
Sitaki habari za video, kama kweli unajiamini nitajie jina la hiyo road nikuoneshe kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂I missed this response, yaani ufukara imekufikisha hapa, can't afford data ya YouTube😂😂😂., hope shughli tu.., unaogopa clip itakutesa vibaya.., almost the whole city is well captured., Dar nje ya CBD haitoshi mboga😂😂😂..,
 
Back
Top Bottom