Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee mpaka nimeweka kitu humu ujue nimefanyia utafiti. I am not crazy like you.
Nairobi $13.35b.

Unabisha!?
Engineer fake kwani nani hakujui humu ndani kwa povu za kila siku. Leta hiyo utafiti yako na ujumuishe na ya Mwanza tuone
 
According to joto la magufuli, Tanzania imeendelea kuliko hizi nchi sababu danganyika hakuna income inequlity. What a stupid way to reason.
Screenshot_20211112-191555.jpg
 
Tz iko na Barabara ipi na ushamba ndo zinafanya unaota blocks tofari bro modern structures are built with blocks for faster building do you know the size of that one block ama we ni picha tu unaona. Tz Haina bara bara hataa ukitoka brt you have no roads don't lie to yourselfs I have sama boy a task hata wewe unaeza soma masharty umsaidie kujibu that's when utagundua Hamna bara bara

Did you really read the statement??? Show me bongo roads around the estates not in town

The best 007 Bado nangoja munionyeshe bara bara za interlinking your estates
Simba .. leta majina ya barabara moja moja na picha zake, sio picha za flyover mzee .tuende kimpangilio huo .. alafu tuone nani mwamba ..
 
.k
Watu wenye kipato cha chini wanazidi kuumia, makodi chungu mzima, huku mama anakata anga tuu.

Mradi wa gesi unaharakishwa na watu wasio wazalendo, hakuna anayeongelea ulinzi wa mali asili zetu.

Maji yanakatwa, umeme unakatwa, ujinga kama huu nchi za wazungu huwezi kuukuta. Hivi sababu ya kumweka Makamba pale ni nini?
Mkuu,mm huyu mama nilimkataa wiki moja tu baada ya kuingia madarakani,lakini kuna watu 'short sighted' wakasema tumpe muda,Ila mm nilikuwa nimeona mbali tayari,hayo unayosema ni kweli,yaani watu wanamkumbuka MAGUFULI,umeme unakataa Bila sababu,leo umeona J.Makamba na J.Mataeagio wakibishana hadharani kuhusu Mafuta,ukumbuke Hawa wote Magu aliwaondoa Sasa ona wanachofanya,hadi aibu!huyu mama ana mamabo ya ajabu Sana,alafu wananchi huku mtaani hawamtaki.
 
Wewe ni mjinga tu wacha nikunyamazie for now. Ukipata ripoti nilikuambia njoo tuongee
Kwahiyo unaamini report kuliko uhalisia on ground, so Kenya iko juu ya North Korea because reports rank Kenya above N. Korea? Kwann hamna akili nyinyi mbwa? Kwahiyo leo hii ikitoka report kwamba Kenya iko vizuri kwa food security kuliko Tz utaamini licha ya njaa mliyonayo? Hamna akili wakunya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nairobae ni muongo sana 😂😂😂 amekula kichapo cha mbwa mwizi na venus, 😂😂 mzee akaona isiwe shida atokee na mapicha ya viwanda nchi zingine na Nairobi aki claim kwamba ni Mombasa 😂😂😂.. nairobae kwanini udanganye.?
Hakuna uongo hapo, leta image citation nifunge account. Any one can use pictures on the internet multiple times.
 
Alafu kuna mbwa humu wanamsema vibaya Magu,wanatia hasira sana
Watu wenye kipato cha chini wanazidi kuumia, makodi chungu mzima, huku mama anakata anga tuu.

Mradi wa gesi unaharakishwa na watu wasio wazalendo, hakuna anayeongelea ulinzi wa mali asili zetu.

Maji yanakatwa, umeme unakatwa, ujinga kama huu nchi za wazungu huwezi kuukuta. Hivi sababu ya kumweka Makamba pale ni nini?
 
Back
Top Bottom