Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona tuandike kwa mate na wino upo?.., in bongolala land only Dar pekee ndio inaweza linganishwa na Mombasa ukatae ukubali ukweli uko wazi
2995150_1636548635685.png

2995128_1636548117843.png

2995134_1636548230333.png
Mji wowote duniani kama hauna modern infrastructures like BRT, electric sgr, cable stayed bridges or Trams, huo mji ni stone age city au we unasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafurahi kuona Watz mnaanza kukubali pole pole kwamba Kenya tumeendelea kuwashinda.
hakuna mlichotushinda ,mlichotushindia ni hizo photograph mmepiga picha nyingi sana kwenye miji yenu na mnajibrand sana tofauti na hapa Tz ,miji mingi karibia yote haina enough pictures za kushow hata picha za Dar zimeanza kutapakaa kipindi cha karibuni,ukitaka kuamini angalia huu uzi wakati unaanzishwa tulistruggle sana kwa upande wa picha.
 
Hahaha. Hio ina maana kwamba hamna drones za kutosha. Pia hamna cameras za kutosha. Hio pia ni ishara kwamba kimaendeleo tuko mbele yenu.
 
Watu wenye kipato cha chini wanazidi kuumia, makodi chungu mzima, huku mama anakata anga tuu.

Mradi wa gesi unaharakishwa na watu wasio wazalendo, hakuna anayeongelea ulinzi wa mali asili zetu.

Maji yanakatwa, umeme unakatwa, ujinga kama huu nchi za wazungu huwezi kuukuta. Hivi sababu ya kumweka Makamba pale ni nini?
 
Hahaha. Hio ina maana kwamba hamna drones za kutosha. Pia hamna cameras za kutosha. Hio pia ni ishara kwamba kimaendeleo tuko mbele yenu.
hapana kuna vitu tumezidiana nikimaanisha kuna vitu vipo Tz havipo kenya na kuna vitu vipo Kenya ila Tz havipo ila si kwa masuala ya drone hivyo ni vitu vya kawaida sana,
ishu iko hivi kila nchi inautaratibu wake kwenye upigaji picha kwenye majiji kuna vibali vinahitajika pia photographer wetu hswakuamka kwenye hiyo nyanja ya kupiga picha za miji kwa wingi asilimia kubwa huwa wanafanya photograph kwenye mambo mengine.
 
Back
Top Bottom