Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya weusi wote mali zao ni mashamba na makadirio ya ufisadi waliofanya wakiwa viongozi lakini kwa ground they own nothing tangible
Hehehehee mashamba wayatoe wapi, unadhani kumiliki shamba mchezo nn, wakunya weusi wengi over 99% hawana guarantee yyte ya kumiliki ardhi ndani ya Kenya, wakunya wachache wenye ardhi ni politicians na wakulima wa vijijini ambao wanamiliki ardhi mfu Mana arable land yote wamechukua foreigners na politicians wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Mombasa zero kabisa.
Unaleta picha za Nairobi are you stupid or something.
So Mwanza inaanza kupambana na Nairobi sasa right!?
View attachment 2008016
Grain Bulk Handlers

images (68).jpeg


images (66).jpeg


images (67).jpeg
 
Your goalkeeper pia amechoka, alifungwa bao za kirahisi sana, not the first time!! kwanza the first goal!.., it kills morale ya players., next time.,
Yule golikipa ni mwenye bahati tu kukuta zama hizi hatuna makipa wazuri lkn ni golikipa mpumbavu na asiyejua majukumu yake, lkn nisije nikampa dozi ambazo si zake, ofcz hajazaliwa kuwa golikipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mbona unaleta ushamba. Unalazimisha vitu ambavyo havipo.
Tukianza
1. Industrial
2. Business
3. Transport
4. Mining
5. Fishing
6. Entertainment
7. Health infrastructures

Hebu weka hizo takataka zako hapa tuone.
Shenz type
Hao wapumbavu wamekalili mji kuwa mzuri ni kuwa block flyover wamemaliza, ni kama wanavyofosi kamji kao cjui kanaitwa eldoret cjui, eti wanataka kuka compare na Arusha kisa tu kana block flyover, pembeni vumbi kama la Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio sababu Tanzania ni nchi Bora zaidi kuishi hapa Africa, Tanzania maendeleo na uchumi wake umesambaa nchi nzima tofauti na Kenya kila kitu ni Nairobi.

Nairobi uchumi wake ni zaidi ya 52% wa uchumi wa Kenya yote, Dar es Salaam uchumi wake ni 30% ya uchumi wa Tanzania nzima.

Note: Tanzania inaongoza Afrika katika uchumi shirikishi(Economic inclusivity), Kenya inaongoza katika Economic iequality
Apa nakubali point zako...manake hata ukienda mikoa ya mbali ukute kuna uchumi mzuri sio kila kitu kiwe dar pekee
 
Huu ungese wa kuteua watu waliosomea kilimo kuongoza wizara nyeti kama ya umeme ndo matokeo yake hayo.

Kuna hadi winchi zenye uwezo wa kuinua tani 40 halafu huyo anaongea ujinga ujinga.

Huyo ni moja Kati ya wale waliokuwa wanaupinga huo mradi tangu mwanzoni.

Huitaji nguvu nyingi kugundua akina "bwana yule" walikuwa kina nani.
Ukigundua kina bwana yule walikuwa ni nan na unyeti wa habari walizokuwa wanapata unagundua pia kuna umuhimu wa kufumuliwa kwa idara nyeti
 
Hii ndio sababu Tanzania ni nchi Bora zaidi kuishi hapa Africa, Tanzania maendeleo na uchumi wake umesambaa nchi nzima tofauti na Kenya kila kitu ni Nairobi.

Nairobi uchumi wake ni zaidi ya 52% wa uchumi wa Kenya yote, Dar es Salaam uchumi wake ni 30% ya uchumi wa Tanzania nzima.

Note: Tanzania inaongoza Afrika katika uchumi shirikishi(Economic inclusivity), Kenya inaongoza katika Economic iequality
Umewapa jibu ambalo litawafanya wakifute hicho ki picha chao mana kwa jinsi wanavyopenda sifa walikuwa hawajaelewa maana ya hicho kipicha cz Wakenya hawana akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu alieona new capital city ya Cairo baada ya Mh SSH kuzuru Cairo anaweza jifunza kitu...jamaa wamejenga sio mchezo...aisee bado kazi tunayo
 
Back
Top Bottom