Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wachana na hizi viji industry ndogo unatupostia ambavyo havina any major impact within the region.
AVA Mombasa assembles almost all brand-new police land cruiser, tour van vehicles and Toyota hilux you see in Tanzania today.

IMG_20211112_152033.jpg


IMG_20211112_152046.jpg


IMG_20211112_152306.jpg


images (63).jpeg


images (62).jpeg
 
Hehehe Morocco iko kando ya Morogoro Road, nishaisema na side moja ni Oysterbay ambayo nimesema while side ingine ni uchafu wa Kinondoni.
Most of Kigamboni is crap - Mchina aliwaokolea na Avic Town.
Kariakoo niliisema - that's your shopping area. Just normal but not so high end.
Halafu mbona ujirudie? Si Kawe na Mbezi ni kitu moja jameni?

Wewe ni kama huijui Nairobi, yani nikaanza kulist maeneo kali ya Nairobi sitayamaliza. Shida yenu Wabongo mmezoeshwa na wanasiasa wenu kuhusu Kibera hadi ukikutana na Mtanzania yeyote kitu cha kwanza atakuambia tu ni Kibera. Reminds me of how North Korea kids are taught about how bad life is in South Korea by their regime. Yani inferiority complex ya Tanzania iko above the roof. Twende Nairobi
CBD
Upperhill
Milimani
Kilimani
Westlands
Lavington
Muthangari
Kileleshwa
Kyuna
Loresho
Springvalley
Runda
Muthaiga
Ridgeways
Tatu City
Kahawa Sukari
Parklands
Muthaiga
Langata
Ngara
Karen
South C
South B
Southlands
Woodley
Ngumba
Buru Buru
Nyayo Estate
Greatwall Gardens
Syokimau
Baraka Estate
Nairobi West
Madaraka
Garden Estate
Gigiri
Kitusuru
Nyari
Thome
Thigiri
Amara Ridge
Waterfront Gardens
Mountainview
Evergreen Estate
Greenpark Estate
Royal Gates
Nyayo Estate
Donholm
Riara
Barton Estate
Lower Kabete
New Muthaiga
Groganville

Yani hizo nimezilist tu offhead. Yani nakwambia ikija sehemu zinazovutia kwa ujumla Dar ligi yake ni Mombasa, sio Nairobi.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachana na hizi viji industry ndogo unatupostia ambavyo havina any major impact within the region.
AVA Mombasa assembles almost all brand-new police land cruiser, tour van vehicles and Toyota hilux you see in Tanzania today.

View attachment 2007992

View attachment 2007993

View attachment 2007994

View attachment 2007997

View attachment 2007998
Huyo ni maumivu ya ukweli inamtesa, leave him alone., šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ anafikiria Mombasa ni size yao., ni Dar tu ndio ya maana ni Tz.
 
Hii nchi inahitaji mtu mwenye uwezo wa computer kama Magu, Watz wala hawana habari na mtu cz mambo yao yanaenda.

Unajua hii nchi tumshukuru sn Mungu, ina kila kitu, haina njaa ina amani, kuna jua kuna mvua, kuna joto kuna baridi, kuna maji kuna vumbi, yn Mungu wkt anaiumba alikumbuka kuweka kila kitu, hali ya hewa zote zinazo wa favour binadamu mpk wanyama na ndiyo maana unaona Watz hawana habari cz wamepewa kila kitu.


Ss tunapotaka na cc tupate maendeleo ya kweli kwa kutumia rasilimali za upendeleo tulizopewa na Mungu inabidi tuwe na kiongozi imara wa kuwalazimisha Watz kwamba haitoshi na msibweteke, but unfortunately viongozi hao ni wachache sana duniani, kwa miaka takribani 60 tumepata viongozi wa kariba hiyo wawili tu, hawa wengine walipambana kwa uwezo wao lkn walichoka kutokana na Watz kuridhika na mazingira waliyojaliwa na muumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kuna shule tulitwa wazazi tukaambiwa tutoe michango, Mjambian kaanza ado ado
 
Wachana na hizi viji industry ndogo unatupostia ambavyo havina any major impact within the region.
AVA Mombasa assembles almost all brand-new police land cruiser, tour van vehicles and Toyota hilux you see in Tanzania today.

View attachment 2007992

View attachment 2007993

View attachment 2007994

View attachment 2007997

View attachment 2007998
Wewe unachekesha Sana, Kati ya kiwanda cha kusindika Nyama na kiwanda cha kuunganisha magari yaliyotengenezwa nchi zingine, kipi chenye "Economic impact" kubwa kwa jamii?
 
salute kwake.. hawa ndo wamiliki wa club ya yanga baadae.. saiz wanawatongoza tu ili baadae wakubali kumilikiwa
Makosa yaliyofanywa na Simba hayawezi kujirudia Yanga, ila kama atajenga uwanja wa kisasa, kama ataendelea kufanya usajili mkubwa, why not? Sisi mashabiki furaha yetu ni kuona timu inasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
October 2021 Progress Video: Moro-Makutupora
Hiki kipande japo hakijaisha ila kitamu sana ukikiangalia [emoji1241][emoji736]
Mwanzoni kuna mbwa wa kikenya walikuwa wanataka waoneshwe centimeter 1 ya SGR, sasa wanashangaa wakiona drone haimalizi licha ya kukimbizwa kwa speed ya Ferrari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ungese wa kuteua watu waliosomea kilimo kuongoza wizara nyeti kama ya umeme ndo matokeo yake hayo.

Kuna hadi winchi zenye uwezo wa kuinua tani 40 halafu huyo anaongea ujinga ujinga.

Huyo ni moja Kati ya wale waliokuwa wanaupinga huo mradi tangu mwanzoni.

Huitaji nguvu nyingi kugundua akina "bwana yule" walikuwa kina nani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ebhn kweli aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Nairobi unazidi Dar-is-a-slum mara mbili na uongeze $4b.
$54 vs $25.

Mwanza ni kijiji cha watega samaki maana hakionekani mahali popote. View attachment 2007973
Hii ndio sababu Tanzania ni nchi Bora zaidi kuishi hapa Africa, Tanzania maendeleo na uchumi wake umesambaa nchi nzima tofauti na Kenya kila kitu ni Nairobi.

Nairobi uchumi wake ni zaidi ya 52% wa uchumi wa Kenya yote, Dar es Salaam uchumi wake ni 30% ya uchumi wa Tanzania nzima.

Note: Tanzania inaongoza Afrika katika uchumi shirikishi(Economic inclusivity), Kenya inaongoza katika Economic iequality[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom