ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,065
- 3,218
Kwa mpigo huo Tazara na TRC zitafanya kazi kweli ? zisije hujuma ktk mashirika ya umma
Wewe tangu nikupatie task ukakimbia nilikudharau sana.The best 007 Bado nangoja munionyeshe bara bara za interlinking your estates
Your goalkeeper pia amechoka, alifungwa bao za kirahisi sana, not the first time!! kwanza the first goal!.., it kills morale ya players., next time.,tumezingua mpila tumeutawala ila hatuna straiker wakuscore kwa upande wa umaliziaji,kisoccer bado tupo nyuma sema tunajitutumua tu,hatuna misingi mizuri ya kuwaandaa wachezaji tunasafari ndefu
alafu mtu aniambie eti Mwanza.., this has far better looks.,Arusha city
View attachment 2007310
Sasa wenu alivyofungwa na Uganda 😂😂😂 East Africa football bado sana.Your goalkeeper pia amechoka, alifungwa bao za kirahisi sana, not the first time!! kwanza the first goal!.., it kills morale ya players., next time.,
Usilazimishe mwanangu. Wewe komaa na mama Ngina. Tunapongea mji wa pili. Tunaangalia vitu vingi mwanangu.alafu mtu aniambie eti Mwanza.., this has far better looks.,
Mwanza unalinganisha na Mombasa eti? told you, it is your sentimental attachment to your country ndio ina blind objectivity, inaitwa blind patriotism., Dar and Mombasa are not even far apart, difference ni few infrastructures tu.., but Mwanza? la hasha linganisha na akina Arusha, Eldoret etc.,Don YF unapoambiwa Mwanza ni jiji kubwa sio kama tunaiteatea .. hakuna tu wapiga picha wazuri tz ndio kitu mnatuzidi, but honestly sidhani kama Mombasa haiizidi Mwanza kiivyo unavyotaka.. hakuna maajabu yoyote hapo MOMBASA ya kusumbua Mwanza mzee
Mzee mbona unaleta ushamba. Unalazimisha vitu ambavyo havipo.Mwanza unalinganisha na Mombasa eti? told you, it is your sentimental attachment to your country ndio ina blind objectivity, inaitwa blind patriotism., Dar and Mombasa are not even far apart, difference ni few infrastructures tu.., but Mwanza? la hasha linganisha na akina Arusha, Eldoret etc.,
Wetu alifanya blunder tu, sio kufungwa kifala kama Manula, Tz keeper ana dive kama De gea wenu na kuwacha ball inaingia tu kirahisi, even akiwa Simba watch zile mpira amefungwa mingi ni zile zenye angekuwa maakini ange save. Anyway mpira iko West Africa, North na central., next qualifiers lazima timu ya East Africa ifike Afcon na world cup.., tag this post then kwa majaliwa.Sasa wenu alivyofungwa na Uganda 😂😂😂 East Africa football bado sana.
Lakini Gor ikipata Yanga na Simba lazima tuwapige kama burukenge. 😂😂😂Sasa wenu alivyofungwa na Uganda 😂😂😂 East Africa football bado sana.
Sasa blunder ya kipumbavu kama hiyo 🤣🤣🤣 stupid goalkeeper.Wetu alifanya blunder tu, sio kufungwa kifala kama Manula, Tz keeper ana dive kama De gea wenu na kuwacha ball inaingia tu kirahisi, even akiwa Simba watch zile mpira amefungwa mingi ni zile zenye angekuwa maakini ange save. Anyway mpira iko West Africa, North na central., next qualifiers lazima timu ya East Africa ifike Afcon na world cup.., tag this post then kwa majaliwa.
Are you talking about this 😂😂😂Lakini Gor ikipata Yanga na Simba lazima tuwapige kama burukenge. 😂😂😂
Mombasa = Dar.., wacha kujichocha 😂 😂 😂 😂 .,Mzee mbona unaleta ushamba. Unalazimisha vitu ambavyo havipo.
Tukianza
1. Industrial
2. Business
3. Transport
4. Mining
5. Fishing
6. Entertainment
7. Health infrastructures
Hebu weka hizo takataka zako hapa tuone.
Shenz type
Wewe wacha jokes. Hakuna vile tunaweza battle Mwanza vs Mombasa hio ni kukosea Mombasa heshima.Mzee mbona unaleta ushamba. Unalazimisha vitu ambavyo havipo.
Tukianza
1. Industrial
2. Business
3. Transport
4. Mining
5. Fishing
6. Entertainment
7. Health infrastructures
Hebu weka hizo takataka zako hapa tuone.
Shenz type
Twende taratibu mwanangu.Mombasa = Dar.., wacha kujichocha 😂 😂 😂 😂 .,
Rank ya African cities by economic output(GDP)., uwezo wa kiuchumi haupati Mwanza in Africa, East Africa ni nairobi, Dar, Mombasa na Kampala., fanyeni utafiti wacha kukurupuka ovyo ovyo..,
View attachment 2007930
Tangu lini mtu unajiita Mashashola ukawa na akili.Wewe wacha jokes. Hakuna vile tunaweza battle Mwanza vs Mombasa hio ni kukosea Mombasa heshima.
This. 😂😂😂
Nadhani nyingi zitakuwa zinapiga ruti nchi zinazo tuzunguka.Kwa mpigo huo Tazara na TRC zitafanya kazi kweli ? zisije hujuma ktk mashirika ya umma
We mefiiii kwani hujui kusoma majina.Tangu lini mtu unajiita Mashashola ukawa na akili.