chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,120
New fleet
Tutulie dawa ituingie!hiv watanzania, kuna mtu kweli anafurahia mama kusafiri safir sana ?..
nikiangalia taifa stars tumefungwa na huku naona mama yupo anazurura tu.. nataman nisiingie mtandaon.. vyote vinakera![]()



Picha moja Nairobi chaliiiiii, GTC ileeeJengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44 sasa hivi limefikia ghorofa la 16.
![]()




Inaewezekana Mombasa kimajengo ikaizidi Mwanza japo nayo inajengeka na kuja kwa kasi pia ila kwenye miundombinu sidhani na kama ikiizidi basi gepu sio kubwa kama unavyohisi naona hii miji inaendana kwa kiwango flani hiviKuna video clip nyingi sana za your major towns mnaziita city., Sio drone, street level, za propaganda etc, how do we know Mwanza ain't a city?
, Wacha kujitetea., Dar is the only city na it is around 10-20% city look, around CBD., the rest ni sprawling uswazi., with few meaningful standard estates, average living ni ushago type standards.,

Inasikitisha sana, lkn kuna wadau humu Jamii Forums wanaunga mkono, ss cjui wako serious au ndio unafki wa mtu mweusi. Mama hakai akatulia daily yupo hewani, ni zaidi ya Kikwete kwakweli, anapokuwa anatoka toka ajue kabisa huku nyuma watu wanagawana chao mapema, na jinsi mama alivyokuwa careless wallahi watu watavuna sn safari hii, huko serikalini watu watagawana kazi watakavyo, tutafanyaje sasa. Mafisadi na mapapa huu ndio muda wao muafaka.hiv watanzania, kuna mtu kweli anafurahia mama kusafiri safir sana ?..
nikiangalia taifa stars tumefungwa na huku naona mama yupo anazurura tu.. nataman nisiingie mtandaon.. vyote vinakera![]()
Nchi inaelekezwa shimoni na mashoga zake mama wameshasandaKuna Id humu za kusifu sifu naona zimesimama kdg kwa ss, huenda tumeanza kuongea lugha moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi inahitaji mtu mwenye uwezo wa computer kama Magu, Watz wala hawana habari na mtu cz mambo yao yanaenda.Nchi inaelekezwa shimoni na mashoga zake mama wameshasanda
Inaewezekana Mombasa kimajengo ikaizidi Mwanza japo nayo inajengeka na kuja kwa kasi pia ila kwenye miundombinu sidhani na kama ikiizidi basi gepu sio kubwa kama unavyohisi naona hii miji inaendana kwa kiwango flani hivi
MWANZA TANZANIA PICHA YA JUU 4K DRONE PHANTOM 4 PRO V2.0 / RAMALEE DRONE CAMERA FLY
Pitia hiyo video uone CBD ya Mwanza![]()
Maximize angle kdg tuchekeNairobi's second CBD (Westlands)View attachment 2007306





