Mwenzako kasema ukweli, maoni yake with substantial facts sio porojo kama wewe Mr. Propaganda, alafu hapa ndani we don't think like you ata kama ni battle, tunaumbua fikra zenu finyu, mnalazimisha mnacho fikiria iwe ni ukweli lakini tunawapea facts! mtapinha hadi mfe, mko na low self esteem na inferiority complex😂, sasa unaona umeandika fikra zako tu, not true, nyie kwa hii battle mnatafita tu porojo ili kujikweza, tumewabana kila kona, tazama picha ulizoweka eti Nakuru slums umeokota google bila kutafuta udhibitisho, Nakuru ain't like that, mko ovyo najua inauma but ukweli utabaki pale pale, wewe andika porojo na post vipicha vya kupotosha tu, Kenya ina paa kimya kimya nyie mnaona njaa na siasa, poleni sio makosa yetu, watu wanajituma nyie mmezubaa😂 I thought ume change, kumbe bado wewe ni ule ule kilaza 😂😂😂😂., Mtanyooka roundi hii.., mtapost slums kwa hasira hadi basi.., Tafuta dawa ya ulcers unaenda kiteseka zaidi na zaidi😂😂😂😂