Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Kazi yako ni kidogo sana, Tz hakuna jibu la maana kwa Kenya ni Kiswahili tu ya kujiliwaza, wewe ngoja SGR ya umeme uje uniringie humu, mengine fyata, kesho Mombasa, Nakuru mpinzani hakuna..,Nakusubiri hapa au bado unajipanga!?


