President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Wenzetu hawa wanaishi maisha ya kuiga.Wanapenda kujifariji na bei zisizo na uhalisia za mitandaoni.
Hivi ni Mtanzania gani atapoteza muda wake kuagiza unga online wakati dukani kwa "mangi" wanauza hizo bidhaa kwa bei rahisi!
Ndio maana NAKUMATI walikuja wakafungasha mizigo yao. Tanzania tunaishi maisha yetu.



