Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaumia mbaya sana basic commodities are expensive AF, Milo wanauziwa ksh930 na Kenya ni ksh650 plus so many offers year round. NB: our currency has a higher purchasing power, must be very terrible down south. That's why their institutions are gagged ndio wasijue ukweli.

View attachment 2001812

View attachment 2001813
Nani alikwambia pesa yenu ina purchasing power kubwa Mama Ngina au? weka hapa 600ksh vitu inavyoweza kununua, na mm nikuwekee 10,000Tsh uone vitu inavyoweza kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo "anakuwanga" mjinga eti anashindwa kukemea upotoshaji unaofanywa na wakunya wenzake ila Mtanzania akipost kitu anakimbilia kusema mnawacheka wakati ni mnawashangaa wanavyojitapa eti wana chakula cha kutosha wakati mambo kwa ground ni tofauti.

Huwa wanaogopana sana humu.
Aliwahi kuwapa ukweli wakunya wenzie wakamshambulia sn, akawa provoked akawatisha kwamba wakiendelea ataweka hadharani uozo uliopo Kenya ambao Watz hatuujui, wakunya waliogopa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikuambia Kenya haina hizi maziwa za mitaa? Inaitwa maziwa ya kupima. Mnauziwa ksh 606 for a 5 liter jerrican. Nakuambia bei zenu ziko juu na unapinga. Kenya liter moja ni ksh60 na kibuyu ya liter tano ni ksh 300.
Maneno 100 ya mkunya.
Screenshot_20211107-115853.jpg
Screenshot_20211107-120036.jpg
Screenshot_20211107-120008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikwambia pesa yenu ina purchasing power kubwa Mama Ngina au? weka hapa 600ksh vitu inavyoweza kununua, na mm nikuwekee 10,000Tsh uone vitu inavyoweza kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia metrics za PPP uone KSH ikona strong purchasing power than TZS.
Sukari 1kg ni almost bei ya 2kg hapa Kenya na hio yenu ni brown sugar.
Kenya 2Kg = ksh215
TZ 1kg = ksh182.

Screenshot_20211107-115642~01.png


images (55).jpeg
 
Back
Top Bottom