Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
seems the guy got kawivu kuona vile tourism ina-boom!
Haamini watalii wanavyomwagika tz kama mvua ilhali mombasa pakavu
seems the guy got kawivu kuona vile tourism ina-boom!
Nani alisema Kenya Kenya iko more food secure than Tanzania? Wacha uongo wewe.Hatuchekii mzee sisi tunashangaa mnavyosema Kenya iko more food secure than tz mara food in kenya is way cheaper than tz while vitu kama hizi (njaa) keeps occurin in your country
Maziwa 500ml processed in your own country mnauziwa ksh72 while Kenya haipiti shilingi 50. The cost of production is high in your country na bado mkona a big deficit, so you have to import to bridge the gap. The government can only increase tax on imported products if you already produce enough in your country.
Wanaumia mbaya sana basic commodities are expensive AF, Milo wanauziwa ksh930 na Kenya ni ksh650 plus so many offers year round. NB: our currency has a higher purchasing power, must be very terrible down south. That's why their institutions are gagged ndio wasijue ukweli.Hahah na jee vitu basic like cooking Fat, sugar,?
Hawa,watu Ni PR tu,
Lazma Ni more expensive
Nani alisema Kenya Kenya iko more food secure than Tanzania? Wacha uongo wewe.
Yaani unajiuliza hivi hawakuona CRDB walivyokanusha tena kwa kutumia ushahidi!Wasanii wengi wa bongo wanasumbuliwa na shule so wanakosa uwezo wa kufuatilia mambo kiundani, so hawapendi kusoma na ndiyo maana wako shalow, wao wanaishia kusikia sikia na kutungia wimbo mambo waliyosikisikia pasipo kusoma kiundani, na ndiyo maana unakuta msanii anaimba vitu vyepesi vyepesi.
Ni bora wajikite kwenye nyimbo za mapenzi waimbe matusi basi lkn wasiimbe nyimbo za kuelimisha cz hawawezi kuelimisha wkt wao binafsi hawajaelimika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu hua empty words. We export fruits to Europe munasema eti ni zenu. Juice and Sugar is cheaper in Kenya yet you produce more. The math doesn't add up.the fruits u produce juices come from Tanzania! Tanzania produces more sugar than Kenya, u r just good at importation!
Huyo "anakuwanga" mjinga eti anashindwa kukemea upotoshaji unaofanywa na wakunya wenzake ila Mtanzania akipost kitu anakimbilia kusema mnawacheka wakati ni mnawashangaa wanavyojitapa eti wana chakula cha kutosha wakati mambo kwa ground ni tofauti.Wenzakoo hao wanekuja na viblog vyao vya vijiweni wamepost humu



Huyo "anakuwanga" mjinga eti anashindwa kukemea upotoshaji unaofanywa na wakunya wenzake ila Mtanzania akipost kitu anakimbilia kusema mnawacheka wakati ni mnawashangaa wanavyojitapa eti wana chakula cha kutosha wakati mambo kwa ground ni tofauti.
Kama huyu mmoja wao 👇
Huwa wanaogopana sana humu.![]()
Wanaumia mbaya sana basic commodities are expensive AF, Milo wanauziwa ksh930 na Kenya ni ksh650 plus so many offers year round. NB: our currency has a higher purchasing power, must be very terrible down south. That's why there institutions are gagged ndio wasijue ukweli.
Ni nadra sana kukuta mtanzania ananunua maziwa supermarket sababu mitaani maziwa organic yamejaa kila duka, haina sababu ya kunywa flavored milk wakati organic milk yapo tele tena kwa bei cheeWanaumia mbaya sana basic commodities are expensive AF, Milo wanauziwa ksh930 na Kenya ni ksh650 plus so many offers year round. NB: our currency has a higher purchasing power, must be very terrible down south. That's why there institutions are gagged ndio wasijue ukweli.
Ni nadra sana kukuta mtanzania ananunua maziwa supermarket sababu mitaani maziwa organic yamejaa kila duka, haina sababu ya kunywa flavored milk wakati organic milk yapo tele tena kwa bei chee
Tumalizane kwanza kwenye topic ya maziwa, mtindo wa biashara ya maziwa Tanzania na Kenya ni tofauti sana kutokana na culture na mitazamoHata sukari hamweki kwa chai, munakoroga tu na miwa. 😂😂😂
Tumalizane kwanza kwenye topic ya maziwa, mtindo wa biashara ya maziwa Tanzania na Kenya ni tofauti sana kutokana na culture na mitazamo
Watanzania wengi wanaamini maziwa ya unga na hizo milo ni fake milk na ng'ombe Tanzania wapo kwa wingi sana so usitegemee mtanzania ataacha organic whole milk kwa jirani yake 1 litre 1k aende kununua lato 300g 5k huo ni uzwazwa
Tanzania organic whole milk is supplied at doorsteps
Kweli wabongo ni machizi, mtoto yupo succesful kitambo mbona..Hamna kitu pale...
Katembelea milage sana Kwa yule dogo wa kibongo. Ndio alikuwa anampa business idea na kukuza brand yake. PR zote na marketing alikuwa anafanya dogo yule.. Huyo msupuu akawa anamlipa kwa bed tu.. Halafu hata kushikishwa ball hataki.
Dogo akamtema tu, saiv anapata loss hapati free promotion kama aliyokuwa anapata before.
Hujielewi we unabadilika badilika, mara kw cane mara sai umeruka kw chupa za bearUtajinyea Leo. Nakuchapa nao mpaka ufike kileleni
View attachment 2001203
View attachment 2001208
View attachment 2001210
Wewe huoni hapo ni mpaka delivery Dar yote (mind you, Dar is 3 Nairobis) plus package and branding lakini mitaani huko ni 1k for 1lt simple which is way cheaper than 60ksh of yoursNani alikuambia Kenya haina hizi maziwa za mitaa? Inaitwa maziwa ya kupima. Mnauziwa ksh 606 for a 5 liter jerrican. Nakuambia bei zenu ziko juu na unapinga. Kenya liter moja ni ksh60 na kibuyu ya liter tano ni ksh 300.
So Delivery na packaging ni ksh50 pathetic lies. 😂😂😂Wewe huoni hapo ni mpaka delivery Dar yote (mind you, Dar is 3 Nairobis) plus package and branding lakini mitaani huko ni 1k for 1lt simple which is way cheaper than 60ksh of yours
cheap from importation sio? we r building and expanding not less than 5 sugar factoriesat the moment!Shida yenu hua empty words. We export fruits to Europe munasema eti ni zenu. Juice and Sugar is cheaper in Kenya yet you produce more. The math doesn't add up.
Huwezi kupata whole organic milk kwa hiyo bei Kenya nzima hata ukiyafata mwenyewe yanapokamuliwa kwa vessel yako, Huwezi na hayo ya 60bob ni maji yaliooshea vyombo na chuchu za maziwa na sio maziwaSo Delivery na packaging ni ksh50 pathetic lies. 😂😂😂
Kenya delivery ni bure plus kuna many milk ATMs in urban centers.