Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi inaendelea kariakooo ijayo
swahilitimes~p~CV8NM9TKVJ-~1.jpg
 
Haya maji alifundishwa packaging na jamaa wa Bongo. Kwanzaa maji yake hayauziki saiv maana Kaachana na mbongo aliekuwa anamsaidia branding na marketing

Uongo? komora096
Kw akili zipi hzo, eti maji hayauziki
Unajua yule mwanamke biashara zake au waziskia..
Anerlisa ni big brain, hata wewe akikupenda anakuchukua anakulea alafu mwisho ywakutupa nje
 
Uko desperate sana h

Yaani ata Dar hupati average residential ya raiya wa kawaida kama za kisumu na unabweka bweka humu idiot 😂 😂 😂 😂 ..,
lolwe., yaani nipoteze mda wangu kulinganisha city na vi town? mimi sio kilaza.., nothing of this magnitude in Mwanza or Arusha..,

Lolwe estate has density kushinda CBD ya Mwanza na Arusha 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2000617
View attachment 2000618
View attachment 2000620
View attachment 2000621
View attachment 2000622
View attachment 2000625
View attachment 2000627
View attachment 2000629

Milimani estate
View attachment 2000630
hebu ona venye mitaa za kenya ni supuu. utadhani ughaibuni. kenya nchi ya $106B😍
 
Ila huyu jamaa Don YF huwa ananiachaga hoi sana.. 😂😂, nimemwambia tuweke battle kati ya jiji lao la tatu kwa maendeleo KISUMU vs jiji letu la tatu kwa maendeleo Arusha, lakini mara apost nyumba za mashambani uko Eldoret, mara vitu tofauti tofauti 😂😂😂.. unaogopa nini wewe kukileta kijiji chenu chenye infrastructure (kalvat) moja yenye mnajivunia😂😂, nimekuomba tushindanishe kwanza kwa idadi ya ghorofa zenye floors zaidi ya kumi in both Arusha and Kisumu, kama tulivyofanya juzi kwa Nairobi vs DAR .. jamaa unapiga nduru mara ooh gorofa sio maendeleo .. sasa cha kujiuliza Kati ya kisumu na Arusha ni mji gani uko na uchumi mkubwa since Arusha is Tanzania's tourism hub .? 😂😂.. Kisumu+Eldoret=Arusha.. fala yoyote anaebisha twende ground
Hiyo battle ya maghorofa kati ya Dar na Nairobi mliukubali matokeo? Si mlianza visingizio hapa na vitimbi?
 
Tsh 2.08trilions kwa ajili ya ujenzi wa barabara,madaraja na viwanja vya ndege...budget 2021-2022.....
Tatizo watu wanasahau mapema
Screenshot_20211106-183315_Drive.jpg
Screenshot_20211106-183327_Drive.jpg
 
Kw akili zipi hzo, eti maji hayauziki
Unajua yule mwanamke biashara zake au waziskia..
Anerlisa ni big brain, hata wewe akikupenda anakuchukua anakulea alafu mwisho ywakutupa nje
Hamna kitu pale...

Katembelea milage sana Kwa yule dogo wa kibongo. Ndio alikuwa anampa business idea na kukuza brand yake. PR zote na marketing alikuwa anafanya dogo yule.. Huyo msupuu akawa anamlipa kwa bed tu.. Halafu hata kushikishwa ball hataki.

Dogo akamtema tu, saiv anapata loss hapati free promotion kama aliyokuwa anapata before.
 
Back
Top Bottom