Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo mnaumia kimya kimya, CCM imewafinya na ikawadanganya vile mnaishi vizuri kumbe ni kuteseka kama punda. 🤣🤣🤣 Sasa ona mnauziwa juice ya Orchid Valley ksh223. Poleni sana majirani.

May be an image of text that says AtoZsSupermarket EVERYTHING UNDER ONE ROOF Ⅲ WISHING ALL A HAPPY IJUMAA KAREEM Rolid mango Delight ORCHID VALLEY TRY THIS JUICE NOW IN mango Delight apple, Deligkt apple Deligh MANGO DELIGHT APPLE DELIGHT JUR JU NOPRESERVATIVE TSHS 4,600 JUE NOPRESERVATIVE SHOP NOW f Atoz's supermarket +255 682 919 213's supermarket +255 682 919 213 Char-lee Oddie a Twitter: "Mango Juice price reduced by 50%. Naivas cares  for you. Enjoy the cool Orchard Valley Juice at a discounted rate.  #KrisiNiNaivas… https://t.co/Fy3cmMkMwu"
because they import alot of their manufactured food/drinks.....
 
jamaa hajui kuwa serikali inaweka kodi kubwa kwa imported goods ili kuencourage bidhaa za ndani.. kwamba watu waachane na kukununua bidhaa za nje ili wanunue bidhaa za ndan za akina bakhresa na etc kwa bei ndogo na kwa wingi ... tatizo ndo hivyo majamaa ni zero brains.. vitu kama hiv hawawezi kuelewa
 
Hawana akili hao
 
Screenshot_20211107-074157.jpg
 
jamaa hajui kuwa serikali inaweka kodi kubwa kwa imported goods ili kuencourage bidhaa za ndani.. kwamba watu waachane na kukununua bidhaa za nje ili wanunue bidhaa za ndan za akina bakhresa na etc kwa bei ndogo na kwa wingi ... tatizo ndo hivyo majamaa ni zero brains.. vitu kama hiv hawawezi kuelewa
Na wala ilikuwa haiitaji akili nyingi kuelewa, tatizo Wakenya hawana akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom