Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The average price for 1ltr of milk and 1 Kg of rice is way cheaper in Kenya then in Tanzania.

Wapumbavu hao wametunga mabei wanayo taka waoo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Infrastructure yenye wako proud of in Kisumu ni kale ka kalvat kamoja, Eti flyover πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hawez rudia tena dharau huyo mbwa
We jamaa unawapiga mno bana 😁😁

Screenshot_20211106-165226.png
Screenshot_20211106-165134.png
Screenshot_20211106-165105.png
 
Unadhani mbona wakona supermarkets kidogo, processed food is expensive in TZ. Nimewaambia walete bei ya rice na maziwa kwa supermarket wakatoroka. Lakini ukiwaambia walete bei ya mihogo mbichi watakuja hapa kwa vishindo.
Wajaribu waonez tuwaumbue sasa hivi, ndio manake mama nitilie kwao wamejaa
 
kabla sijasahau.., leo ni Manchester derby! unakula wapi bata uki watch as u cross your fingers?, najua utakaza tako mshinde ama draw am off Man city ni moto wa kuotea mbali.., nakuombea ushindi leo, masaibu yenu hii season ni mengi.., mnateswa sana!
Man u masengeeeeee
 
06 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania

How Ubungo fly over / interchange of Dar es Salaam Changed in Two Years




Ubungo is one of the 5 districts in the city of Dar es salaam Tanzania, in the last two years there has been some dramatic changes to this new district which saw the construction of a modern Ubungo fly over / interchange and other roads improvement in the district.

Source: The BOSS TV
 
Yani hizi packaging kwenu ndio habari ya mjini
Tanzania nyie jamaa mlikua gizani mazee manake sio kw aibu hizi, unatuletea vitu ambavyo kwetu vilikuwepo kitambo sna
Bongo kuna kila aina ya packaging unayoijua wewe inapatikana duniani .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nakuskitikia sana, wewe huijui tz hata kidogo .. nakwambia kila siku njoo ntakulipia Accomodation, njoo utoe tongo tongo.. Owky hii Apo chini ni packaging ya maji tu πŸ‘‡
Dsg9BrJWkAIo5_b.jpg
ELk5aONWoAAP_CJ.jpg
 
Nyie wakenya ni washamba sana. Kuna sehemu ulisema LATO ni low quality.
Nikakuuliza quality ya maziwa ni nini!?
Naona umebaki kupiga kelele tu kama stupid person.
Lato ni low quality maziwa, tangu mbele mumeanza juzi kuona packaging za maziwa sasa mtajuaje maziwa quality nyie bora yapo kwnye package tosha
 
Bongo kuna kila aina ya packaging unayoijua wewe inapatikana duniani .. , nakuskitikia sana, wewe huijui tz hata kidogo .. nakwambia kila siku njoo ntakulipia Accomodation, njoo utoe tongo tongo.. Owky hii Apo chini ni packaging ya maji tu View attachment 2001009View attachment 2001010
Maskini, sasa hapo kipi kigeni..yani mpka umepata ujasiri wa kupost basi waona ni vitu vya kishua kumbe kwetu upupu tu
 
Bongo kuna kila aina ya packaging unayoijua wewe inapatikana duniani .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nakuskitikia sana, wewe huijui tz hata kidogo .. nakwambia kila siku njoo ntakulipia Accomodation, njoo utoe tongo tongo.. Owky hii Apo chini ni packaging ya maji tu πŸ‘‡View attachment 2001009View attachment 2001010
Are these the best you got? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waaaaa
 
Back
Top Bottom