Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lonrho africa and nssf building. hizi vyumba za kitambo lakini bado inatesa ile mbaya
images (16).jpeg
images (17).jpeg
 
Hapa ni Unguja. Kenya bado mpo na Colonial buildings structure. Utakimbia baada ya photos hizi.

View attachment 1999931

View attachment 1999936

View attachment 1999937
😂😂😂😂😂😂😂😂nimerudi, hadi raha, sasa hotels na residentials along the beach ndio ya kuweka humu to prove eti Tz haina city moja?🤔😝😂😂 hizi ziko kwa wingi kule small towns along the coast mzee., try something else, weka ata tu ule mji wenu wa ushago ulio choka kishenzi, aka Mwanza city.,😂😂😂😂😂😂.., drop them photos here..., ata YouTube clips ziko kibao😂😂😂😂
 
Mwanangu unaonekana stress zimepanda kiwango kichani mwako🤣🤣🤣
 
Kuna watu wanaweza kudhania hapa ni dubai
Sio sisi, pengine watu wa Mwanza wengi walio washamba😂 kama mlivyo sema wenyewe😂😂😂😂 ila sisi tunapajua kwa mapana na marefu😂 kindly just raise the camera ionyeshe aerial view or bird's eye view?.., hii ya deceptive angle to create an erroneous perception tulisha "ifumania" mchana peupe😂😂😂😂.,
 
Mwanangu unaonekana stress zimepanda kiwango kichani mwako🤣🤣🤣
Maneno mengi sipendi, evidence tu, yaani facts ndio muwe mnaweka hapa, kisha mpunguze Domo domo.., yaani mko na empty rhetorics tu., watu wa vioja tupu😂😂😂😂, hapa ni entertainment zone Mr. Vipicha..,
 
Hii hata price lazima ichangamke...pillars za kutosha sio mauchafu ya kujenga ukuta kisha kujaza maudongoView attachment 1999979View attachment 1999980View attachment 1999981
Alafu sasa, unaona?, only in Dar😂😂😂😂,.., outer ring Nairobi imeifunika tayari, mimi nilisema Tz ni nchi ya city moja tu mnakasirika, na interchange hazipiti tatu😂😂 kwingine ni mashambani ndio maana wengi mmekimbilia Dar-kabul-salaam, kwa sasa nina hisi mtakua watu 7million plus in that fishing village, hamna kwingine pa kuenda ku hustle😂😂😂😂😂😂😂😂..,
 
Have you remembered to post that elevation that’s the only thing you can share for your third largest Glorified Village
but just know kisumu, by any standards is the lead city in EA interms of neatness and organization even ahead of chigali
 
Acha kujitia aibu ndogo ndogo....nenda ulete kisumu apa ili Chuga upumulie kisohoni
Hapa ni hasira inaongea hakuna reason ama sense, sio makosa yangu ukweli utabaki pale pale wewe itabidi imezoea ama utapata ulcers bure, vumilia, tafuna limau kama mwanaume😂😂😂😂😂😂
 
Maneno mengi sipendi, evidence tu, yaani facts ndio muwe mnaweka hapa, kisha mpunguze Domo domo.., yaani mko na empty rhetorics tu., watu wa vioja tupu😂😂😂😂, hapa ni entertainment zone Mr. Vipicha..,
Sasa mzee hapa umefanya vitendo gani!?😂😂😂. Hebu tuwekee picha unazoziamini kuliko zote nje ya Nairobi na mimi nitakuja nikukamue mbolea.
 
mumeona vile tofali zikipangwa kwenda juu😂😂😂😂😂 flyover ambazo zilijengwa miaka 100 iliopita
Wewe nakujua vizuri sana, umeteseka hadi basi, sasa ni kiswahili tu😂😂😂😂😂., we love our design, alafu unajua tofauti ya brick na block?., hapa Kenya tofali(tofari) ni ile inayotengenezwa kwa udongo kisha yanachomwa kwa moto yaani bricks: 🧱(matofari)., blocks are made of cement., Kwa kiswahili block inaitwaje?.,

#chunga wivu isikunyonge kaka😂😂😂😂
 
Mbona mzee hatuoni facts. Unaandika insha
 
And that is a true definition of a quality of life. A dollar stretches wide in Tanzania, my friend.
Now see how u easily expose your ignorance, I said earlier u argue merely so just u can win an argument but not to reason😂😂😂😂, katika nchi fukara fukara kama Tz, such places are too cheap and affordable in comparison, reason ni ati demand is quite low many people can't afford Airbnb, the reason ukienda Kampala, Lilongwe, now Dar-Kabul-Salaam, etc u can spend in a gisty hotel or airbnb at relatively low rates!.., mko hovyo nanii wacha kujipiga kifua eti "quality of life" kaka ni lack of customers, low demand!😂😂. Understand this, stronger currencies stretches wide in poor countries with weak and useless currencies like Uganda and Tz, if u have traveled u will know what I mean. Also there are other several factors I haven't mention here., no need anyway.
What a pedestrian reasoning, didn't expect such a response from u, Kuna mikwara wa hiyo size humu na ni wengi tu, some am on their case nawatafutia vipicha ili tuelewane.,
 
Back
Top Bottom