The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwani wewe unataka kushindana na bidhaa za Azam au unamaanisha nini, mana Azam hawezekani East and Central Africa, ma shelves yenu yamejaza bidhaa zake na ndiyo bidhaa zilizo standard zaidi East and Central Africa, mtu kama anayo ile tweet inayoonesha zawadi waliyopewa Azam kama brand yny standard kubwa aweke hapa tummalize huyu mbwa anayejifanya cartoon..
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Idea ziliisha wakaona tu waandike jina kubwa ya Energy Drink.
View attachment 2001287
View attachment 2001288
Sent using Jamii Forums mobile app