komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Maneno mengi fact zero[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kulilia yani chakula ununue kutoka bongo halafu kiwe bei rahisi kuliko kinapozalishwa .? [emoji23][emoji23][emoji23], Unafkiri hata kama tutaweka bei ya supermarket itakua kubwa kuliko kwenu since chakula kinalimwa hapahapa.?
Eka hapa tuone mzee baba taarab mwachie mzee yusuf