Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tatizo siyo kudanganya tatizo hata anachokizungumzia hakijui ila ubongo wake unamtuma kuwa anafahamu
kumbe haelewi chochote
Yani hamuani km hku mpka turkana hospitali zimejaa vifaa vya kibingwa kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala hawajazoea hata CT scan or basic surgery kwa hospitali za mko lakini unaskia mtu akiropokwa ety Kenya mzima ikona MRI tano.

Kisii referral Hospital.
Image
Image
Image
 
Bongolala hawajazoea hata CT scan or basic surgery kwa hospitali za mko lakini unaskia mtu akiropokwa ety Kenya mzima ikona MRI tano.

Kisii referral Hospital.
Image
Image
Image
Nimemletea turkana akapanic kuona vifaa[emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala hawajazoea hata CT scan or basic surgery kwa hospitali za mko lakini unaskia mtu akiropokwa ety Kenya mzima ikona MRI tano.

Kisii referral Hospital.
Image
Image
Image
Hii Mzee haifikii hata Hospital za wilaya za Tanzania. Kumbuka Tanzania has 169 District
Screenshot_20211104-174005.png
Screenshot_20211104-174029.png
 
Nimemletea turkana akapanic kuona vifaa[emoji1787][emoji1787]
Bado nangoja watuonyeshe vifaa, wametuonyesha tu vifaa vya National Hospital moja. Sisi hata National Hospital moja hatujaonyesha, za county tu na tayari washaanza kupanic.
 
kama ipo kwann wakenya wote mmeshindwa kuileta [emoji23][emoji23][emoji38].. leten ya Garissa nifute account yangu
Heheeee!!jamaa unacheza reggea sasa, manake mada ya tano pekeake imewashinda
 
Back
Top Bottom