


ndo nimerud.. ni masaa mawili sasa toka saa 4




jamen wameshindwa kuonyesha MRI scan iliyoko
Garissa County Hospital ..walidai kila county hospital ina MRI scan.. sasa nimewaomba wanionyeshe tu iliyoko Garissa .. mpka sasa wakenya wote wameshindwa.. wameishia kupost articles za wanasiasa walevi wenzao zisizo hata na picha MRI scan.. achana na maneno ya kwenye gazeti.. hata mim naweza kuandika kwenye media/gazette kuwa health center yetu mtaani ina MRI scan .. bila picha hata video ni maneno bure.. kama MRI scan ingekuwepo ingekuwa fasta tu kuweka picha au video yake hapa..
wabongo, tuzingatie kuwa katika maneno kumi ya mkenya, msichukue hata moja!
Naomba nifunge mjadala wa kuhusu MRI scan kila county. Tuendelee na mambo mengine