komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbona basi kafanya maajabu kw kubeba tuzo mfululizo za best male athlete km sijakosea[emoji848]Kwa lipi hasa la ajabu alilofanya? Au ndo kukimbia, mbio zenyewe za km 2000[emoji3][emoji3]
Lini ulisikia mbio ndefu zinamaajabu kama mbio fupi?
Au weye unaongelea maajabu gani[emoji2960]