Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

download (2).jpeg
2021-07-09.jpg
wilson view building image.jpeg
2020-01-15.jpg
2948941_FB_IMG_1633019565338.jpg
 
naombeni watanzania nanyie muhesabu kujiridhisha 😂😂😂😂 mm nimepata 24View attachment 1997107
Kumbe unajua kuhesabu?? 😂 😂 😂
So ni ujinga tu unakuanga nayo?? Sasa naomba uhesabu na hii pia (the one on the far left) uniambie ni ngapi kisha nikuambie kitu hufahamu kuhusu hizi towers
images (31).jpeg

Mahali umeanza kuhesabia is not ground level. GTC residentials have a common block that rises five floors above the ground. (Yani foundation ni moja then ikajengwa hadi ghorofa ya tano ndio hizo towers zikagawanyishwa into four individual towers.) Kutoka ghorofa ya sita kwenda juu ndio kuna individual towers as you can see below. So hizo 24 floors umehesabu kuna zingine tano chini
images (17).jpeg
images (12).jpeg

images (31).jpeg
 
Nimekupiga na facts kama mbwa hadi umetorokea National Hospital. Umenotice hizo referral hospitals zenu za mkoa ni big dispensaries. Maghu aliwadanganya mutafune ndimu na tangawizi wengine wakinunua vifaa. Poor danganyikans. Hospitali ni vifaa wadau.
Acha kurusha akili kijana, heb tushindanishe hospitals za Mombasa na Dom tuone wapi patashinda, and mind you DOM isn't on the list of tz top5 cities
 
TDF jeshi la rebels linakaribia Addis Ababa. Wanataka kupindua serikali.
human rights! kipindikileeeee dunia inampigia kelele apo ndipo alipoutoumber moto....
ni swala la muda tuu kabla hajapigwa chini

af naskia wa oromo wameungana na watigray?
 
Kumbe unajua kuhesabu?? 😂 😂 😂
So ni ujinga tu unakuanga nayo?? Sasa naomba uhesabu na hii pia (the one on the far left) uniambie ni ngapi kisha nikuambie kitu hufahamu kuhusu hizi towers
View attachment 1997119

Mahali umeanza kuhesabia is not ground level. GTC residential have a common block that rises five floors above the ground. (Yani foundation ni moja then ikajengwa hadi ghorofa ya tano ndio hizo towers zikagawanyishwa into four individual towers.) Kutoka ghorofa ya sita kwenda juu ndio kuna individual towers as you can see below. So hizo 24 floors umehesabu kuna zingine tano chini View attachment 1997124View attachment 1997139

View attachment 1997118
Mwarabu bandia anadhani hapo ameanzia kuhesabu ndio ground floor.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha kurusha akili kijana, heb tushindanishe hospitals za Mombasa na Dom tuone wapi patashinda, and mind you DOM isn't on the list of tz top5 cities
Sasa kama hizo vitu mnaita referral hospitals hazina hata renal units or radiology departments, mimi siwezi poteza muda wangu na hii discussion hadi mununue vifaa muhimu vya hospitali.
 
Mwarabu bandia anadhani hapo ameanzia kuhesabu ndio ground floor.🤣🤣🤣🤣🤣
Yani am surprised the guy can count these apate 24 floors
Screenshot_20211103-163900~2.png

But ukimwambia ahesabu hizi anashindwa!
images (31).jpeg
 
Sasa kama hizo vitu munaita referral hospitals hazina hata renal units or radiology departments, mimi siwezi poteza muda wangu na hii discussion hadi mununue vifaa muhimu vya hospitali.
Acha kupiga nduru kwa vitu usivyovijua nani amekwambia referal hospital zikose hizo huduma muhimu nani kakwambia wew makalio au unakimbia battle kwasababu unajua kitakachokutokea.? 😂😂😂, Radiology department zipo mpaka kwenye vituo vya afya na dispensary hapa tz .. usiogope twende ground
 
Wacha kujiaibisha msee, unadhani hizo vifaa zinatumia stima ya kuweka na tokens. Wacha kudisplay ujinga wako kwa mtandao.😂😂🤣🤣🤣 Unajua Tanzania has roughly around 60 radiologists pekee. Yani 1 radiologist per million population.
 
Wacha kujiaibisha msee, unadhani hizo vifaa zinatumia stima ya kuweka na tokens. Wacha kudisplay ujinga wako kwa mtandao.😂😂🤣🤣🤣 Unajua Tanzania has roughly around 60 radiologists pekee.
We mbona unaongea vitu usivyovijua we matako..😂😂😂 me huwa sina maneno mengi nimekwambia twende ground.. tushindanishe your second city MOMBASA na DODOMA mbona unakata story nyingi mzee tena story usizozijua.?
 
Sema huelewi mada, you sound very shallow my friend. Pole we can't reason on the same wavelength.
 
Back
Top Bottom