Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is this referral hospital!? Seriously!?
🤣🤣🤣 Dispensary zitakuwaje sasa!?
1635940367542.png
 
Tatizo lenu uzembe, mna mapori yote hayo lakini umaskini mpaka mnatuchafulia nchi kwa omba omba wenu
Haya mambo yanapatikana Kenya tu.
Ukiwa mzembe huwezi kupata chakula.
Saidia baba na mama zako. Acha kujificha kwa keyboard
1635940611615.png
 
Umekuja tena na issue zako za kufananisha Wajir na Chinese cities
View attachment 1997020
Hospitali ilishafanyiwa rennovation kitambo na ikafunguliwa, wewe bado unakuja hapa na picha za ukoloni wakati wa Lamu District. Pole sana sahii ni Lamu County hadi ikona radiology machines. AAAAAUUUIIIIIII Kujeni muone bongolala anaumia.🤣🤣🤣 😂😂😂😂😂
Outages cripple Lamu hospitals
 
Mzee Hiyo Hospital ni ya msaada toka kwa King of Saudi Arabia. Vitu vidogo hivyo mpaka mpate msaada!?
Screenshot_20211103-143621.png
 
Russia and China are not developed. Read on the threshold for developed country and come back.
Nawewe unaamini na wakati maendeleo yalipo china hiyo marekani yenyewe itasubiri... Hizo maneno ni za kusema China na Russia ni developing countries ni propaganda tu za mrengo wa kulia (capitalism)
 
Nimekuleta mbio na Wajir County Hospital, hadi umetorokea kwa private hospitals. Huko sasa ndo hutawezana ju Kenya is a capitalist state. Hospital zenu ni big clinincs tu hakuna vifaa. Ona sasa Wajir County Hospital renal dialysis unit.
 
Mzee unaleta Dispensary. 🤣🤣🤣
Benjamin Mkapa Hospital Dodoma
1635943584613.png

1635943619220.png

1635943665552.png

1635943831188.png
 
Back
Top Bottom