Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Prudential Insurance has moved its African office from London to Nairobi, Kenya. 💪

IMG_20211102_164645.jpg
 
Kwamba kampuni imehamisha ofisi London kuleta kenya, hyo kampuni inauza miraa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kawaida ukiexpose ujinga yako hua inanipaa raha sana. 😂😂😂😂 Ni vile hujui prudential is a multinational company. How will you know about a regional office na hapo bongo hakuna vitu kama hivyo.😂😂😂
 
Kwamba kampuni imehamisha ofisi London kuleta kenya, hyo kampuni inauza miraa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza ujinga kidogo, jizoeshe kusoma vitu vya maana ili ikusaidie kupanua akili. Usiozoe kufwatilia story za kijinga hapo uwanja wa fisi.
 
Kwamba kampuni imehamisha ofisi London kuleta kenya, hyo kampuni inauza miraa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua maana ya region mzee ama na wewe ndio umekurupuka
 
has moved its African office from London to Nairobi?

ndo mana wakenya 10 tu kati ya 300 walifaulu mitihan wa English
Kiswahili hamjui na English hamjui.. kujikuta wajuaji tu, bure kbsa
Unajifanya sana kujua na hakuna kitu unajua. Hujui bado kuna many multinational companies wakona African Office in Europe or Asian countries? A good example is Airtel which has its African Headquarters in London.
 
tunawalisha.. Kenya level yake ni South Sudan
View attachment 1995283
View attachment 1995284
Yaani ina maana tukisusia mnakufa na ufukara! 😂 😂 😂 😂 😂 ., very useless busibness, inaeza badilika anytime, Tanzania na Uganda ni nchi mifukara kweli, size ya Malawi, ndio maana tulipofungia mahindi mlilia sana., kwanza wakulima 😂 😂 ..,
 
Yaani ina maana tukisusia mnakufa na ufukara! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., very useless busibness, inaeza badilika anytime, Tanzania na Uganda ni nchi mifukara kweli, size ya Malawi, ndio maana tulipofungia mahindi mlilia sana., kwanza wakulima [emoji23] [emoji23] ..,

mnaanzaje kususa?
IMG_2738.jpg
 
Back
Top Bottom