Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Ndivyo walivyo, huwa wanafundishwa kuwa wao ni babkubwa, sasa wakitoka nje ya kenya watu huwa wanawashangaa jinsi wanavyojitutumua.Halafu huyo dada anawalazimisha waijue Kenya. But hawajui chochote kuhusu Kenya.