Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani tuwazidi kwa ng'ombe alafu watuzidi kuzalishaa maziwa we uliskia wapi
Ukiwa na watoto wengi ndio utakuwa unasaidiwa sana sana kuliko na yule wa mtoto mmoja sio..
Wingi wa vitu sio wingi wa kuuza au hta kuzalisha, akili nanii..
Ma lazy mko poor in reasoning aisee
 
Yani wewe ndio unavuwezo mdogo sana wa ku reason, heb nenda kabishane na walevi wenzako vijiweni uko.. oya mzee Lwiva usimjibu tena huyu ndondocha (zangu zinaani) [emoji23][emoji23][emoji23]
Umetoka kapa mzee, hapo ukijibu umeumia

Jibu tuingie kwenye miamla ya wananchi hzi nchi zetu mbili (simu/benki), kampuni, pato la taifa, ...
Ndio manake umekwepa mzee, pole sana mwenzako Lwiva kagusa akaungua ikabidi asepe tu maskini wa Mungu
 
SoonView attachment 1995558View attachment 1995559View attachment 1995560
image_d105331b-754c-485b-9436-984bb7585c2c20211102_102440.jpg
 
Wakenya oneni Ulaya ndogo vile inakaa, ndiyo maana Rais wenu anaogopa ku visit Tanzania ya sasa mana anajua wivu utamuua, tazama hapa Elimu ilivyotusaidia Watz, tumebadili nchi kwa miaka mitano tu, onaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1994904View attachment 1994905View attachment 1994906View attachment 1994907View attachment 1994908View attachment 1994910View attachment 1994911View attachment 1994912View attachment 1994913View attachment 1994914View attachment 1994916View attachment 1994917View attachment 1994918View attachment 1994919View attachment 1994920
Hawa mbwa washukuru JPM amefariki la sivyo wangesujudia tz mara 10 ya sasa
 
Hta ukitoa mimacho mzee maziwa yapo, mnatuona wajinga sana sio eti mpka mnatudanganya wazi wazi[emoji1787][emoji1787]
Huamini kinacho tokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1369]
 
Back
Top Bottom