Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kupotosha umma. That building you posted above is not the sane as this one. Look at the surrounding areas then compare with the one you posted above View attachment 1994536
Hebu naomba nipe explanations kuhusu hiki:-
IMG_20200811_155445.jpg
 
Ngoja nianze kukuumbua kidogo kidogo.
Usishindane na mtu Mwenye elimu kubwa kama mimi kwenye Technology. Nenda shule mwanangu.

Aliye post hii video anaitwa Adam James, jamaa kutoka Kenya.
Nakusubiri tuanze vita hapa.🤣🤣🤣
Anaweza kukutumia location alipo kwa sasa.
Woiiiii you an example of a clever fool. 😂😂😂 You pretend to know everything but you know very little and the little you know is wrong.
 
Naambiwa hii hlitumika anymore. Kwamba shuguli zote zilahmisha Real Towers.

Alafu mbona unataka nikubali wakati hukubali tumewapiga kwenye ofisi za Rais, naibu wa Rais na wizara ya fedha?
Sawaa me nimekubali.. kwahyo umekubali Takwimu na Idara ya maji tumewapiga.?
 
Mzee unasumbuka sana kutafuta articles kwenye mitandao. Tunataka utuambie company gani sasa inauza hayo maziwa!? Na yanasafirshwaje kwenda Angola!?
Usiwe mpumbavu machoni pako. Mama Ngina amekula ubongo wenu.

1635764428260.png
 
Back
Top Bottom