Shelve ipi imejaa maziwa ya kenya ? Unajua Nyie huwa ni wajinga sana ?
kama unashadadia tuu poaNdio utoroke vile ulitoroka ligiya 20+ floors baada ya kupata kichapo? Anza na hili gofu ambayo ndio ofisi ya makamu wenu wa RaisView attachment 1993935
Jengo hilo halitumiki tena hata..naona limefungwa hata 10 years nowNdio utoroke vile ulitoroka ligiya 20+ floors baada ya kupata kichapo? Anza na hili gofu ambayo ndio ofisi ya makamu wenu wa RaisView attachment 1993935
Gharama ya viwanjaa tz ipo chini hiyo inasababisha watu kujenga majengo mafupi mfano hapa dar viwanja unapata hadi tsh1,000,000 sawa sawa ksh50,000 .kwa kutumia Akili ilitakiwa kenya kuwe na magorofa marefu zaidi ya mara 10 ya tz lakini wapi.pia watz wanajenga nyumba zao binafsi kwa sababu ardhi inapatikana kwa bei chini hivyo biashara ya apartment siyo kubwa kama kenyaBuildings za over 20 Tanzania nzima hata hazifiki 30. That`s a shame.
Usirudie benki kijana, hii bank ya kisumu si ulishaipost.? Au hakuna zingine.? Nilipost bank ya DODOMA ukajibu kwa hii, why now nimepost bank ya Mwanza unapost tena hii.? We fala.?
Na hizo bidhaa za Tz kwa ss ndio zimejaza mashelve yao.Ntapita Supermarket kadhaa nipige picha shelf za Maziwa ataje maziwa yao[emoji1787]
Jana nilikua naangalia shelf za vinywaji Baridi, ujue Cocacola na Pepsi wanapewa za Mbavu balaa.
Kuna Azam Cola
Mo cola
Super cola ( Milkcom)
Afiya
Twist etc.
Hizo kampuni kadhaa kila moja ikiweka flavor tatu hilo linshelfu lote linajaa.
Azam ndio kila kitu hadi landha ya ukwaju [emoji1787]
I'm stating a fact. The biggest milk producer in Africa. You probably use our milk every day.
Kama gani?Na hizo bidhaa za Tz kwa ss ndio zimejaza mashelve yao.
I'm stating a fact. The biggest milk producer in Africa. You probably use our milk every day.
Nimeona Raha drinking chocolate, which is a Kenyan brand. Most of the international brands kama Nestle are manufactured in Kenya and distributed to the EAC and COMESA region.Unajua Nyie huwa ni wajinga sana, plus you are so ignorant ,
Okay these are few shelves in Dar
Mention Kenyan diary products here View attachment 1994273
View attachment 1994274
View attachment 1994275
View attachment 1994276
View attachment 1994277
Nimeona Raha drinking chocolate, which is a Kenyan brand. Most of the international brands kama Nestle are manufactured in Kenya and supplied to the COMESA region.
Nimeona Raha drinking chocolate, which is a Kenyan brand. Most of the international brands kama Nestle are manufactured in Kenya and supplied to the COMESA region.
Raha drinking chocolate is a Kenyan brand.What’s the name of that Kenyan drinking chocolate [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
That shelf is full of imports, kwanza Nestle products ni mingi na zimekua manufactured by Nestle Kenya which distributes them to East Africa and some parts of Central Africa.Masikini [emoji3][emoji3][emoji3]
kunya land vichwa vimejaa tope hawezi kukuelewaGharama ya viwanjaa tz ipo chini hiyo inasababisha watu kujenga majengo mafupi mfano hapa dar viwanja unapata hadi tsh1,000,000 sawa sawa ksh50,000 .kwa kutumia Akili ilitakiwa kenya kuwe na magorofa marefu zaidi ya mara 10 ya tz lakini wapi.pia watz wanajenga nyumba zao binafsi kwa sababu ardhi inapatikana kwa bei chini hivyo biashara ya apartment siyo kubwa kama kenya
Ndio nimemalizaNakuona ujalala au unapika chapo za kuuza asubuhi[emoji1787][emoji1787]
Benki ya Kisumu nilipost wapi? Hebu nitag mahali niliipost. Kama hata ya Nairobi ndio sijapost sasa ya Kisumu ningepost aje? I haven't posted any Central bank in Kenya. Wewe ndio ulipost central bank ya Mwanza , nit even Dodoma ukaniuliza ni post central bank kama hiyo outside Nairobi ndio nikaweka hiyo ya Kisumu. The only thing I have posed ni Ministry of finance headquarters. Hivi ndivyo mnakuanga mkiona mnaenda kulemewaUsirudie benki kijana, hii bank ya kisumu si ulishaipost.? Au hakuna zingine.? Nilipost bank ya DODOMA ukajibu kwa hii, why now nimepost bank ya Mwanza unapost tena hii.? We fala.?