Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Check totozi za kitanzania hata MK254 anajua hizi
20210801_121026.jpg
20210829_173226.jpg
IMG_20180110_101628.jpg
 
Shida ni kwamba huwa unaumia sn na maendeleo ya Tanzania kama vile maumivu unayabeba peke yako, ss hutaki record mpya iliyowekwa na Udsm library? Nakuwekea picha na supportive article alafu na wewe uweke yako na picha pia usisahau, hii ndiyo the modern and new biggest university library of Afrika km hutaki kunya boga [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Usisahau kuweka picha ya library yoyote inayotoshana na hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1993117View attachment 1993118View attachment 1993119View attachment 1993121

1635690533511.jpg


1635691712034.jpg
 
Tanesco bado wanaisaidiwa na kampuni ya kibinafsi kufanya live line maintenance na tuko 2021. Lakini kukua nchi maskini ni shida, offisi ni vibanda, vifaa vya kazi pia hakuna. 😂😂😂

images (23).jpeg


images (24).jpeg
 
Kenya Wildlife Service Headquarters.
Bongo huwezi pata offisi kama hii, Tanzania Wildlife Authority wanafanya kazi kwa wizara ya utalii na misitu. 😂😂😂 Alafu munalia Kenya inapata watalii wengi kwanini, kumbe hata kupata offisi ni shida.

View attachment 1993472
Screenshot_20211031-194727_1.jpg

Umeona vyenye tz tunafanya kwenye utalii .. haya shindanisha hizo headquarters zenu za utalii na hii ofisi ya Ngorongoro national park, it's done ✅ by the government of Tanzania ..yani wanyama wanavyozurura kule mbugani wanaonekana live ndani ya hili jengo.. nyie hamtuwezi bandugu.. for more information pitia hapa 👇 . 😂😂 Kama utakua umeumia pole .. kesho usitake kuijua tz kiundani utapata pressure bure we endelea kujiaminisha tu kwamba mmetupita😂😂😂. By the way it's 18 floors building
 
Siku moja itapendeza sn ukapiga picha wewe mwenyewe ili uwepo uhalisia but kwa kutumia photoshop hata Somalia huwa inaonekana iko poa, mbn cc tunatumia camera za simu zetu lkn haijawahi kutokea hata mkunya mmoja kupost picha aliyopiga kwa mkono wake au kupost picha isiyokuwa na lipstick, why?

Kama nchi yenu ya hovyo ni ya hovyo tu haitabadili ukweli, mnaweka picha za lipstick but wageni wakija ni aibu tupu.
 
Back
Top Bottom