The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hii vipi haiwezi kuwa screen saver yako?Wow! What a picture? This photo is automatically becoming my screen saver from now on.
Hii vipi haiwezi kuwa screen saver yako?Wow! What a picture? This photo is automatically becoming my screen saver from now on.
Bwana mapesa kawa mlaghai sana. Neno la kumwamini ni salamu tuManeno 100 ya mkunya usichukue hata moja, angalia gape tulilowapiga kwenye books accomodation btn Kenyatta library and Udsm libraryView attachment 1993141View attachment 1993142
Mbn hapa hamna vumbiSo you expect a construction site isikuwe na vumbi? Naona ujinga wako inaenda kupita ya ichoboy01 very soon.





Sasa hao ndio ng'ombe wa maziwa. Mbona unajifanya mpumbavu hivyo!?So hii picha sio ya Kenya?
![]()
Hivi hii ni ya BOT? 🤣 🤣 🤣
Mbona unasumbuka kijana wa Tandale? You can shout at the top of your voice from your uswazi hovel but you can't change this factNaona umeficha neno wikipedia![]()
Why should I have a picture of dwaf buildings as my screensaver?Hii vipi haiwezi kuwa screen saver yako?View attachment 1993779View attachment 1993780View attachment 1993781View attachment 1993782
Mbona mimi naona vumbi? 🤣 🤣
Nani aliyesema hiyo picha co ya Kenya, unataka kufosi ili awe kama wewe uliyewahi kuita picha ya Tz ni ya SwedenKuna mtanzania anasema hii picha sio ya Kenya. What advise can we give him my fellow Kenyans?
![]()






Ukifikia hapa please tag meKuna mtanzania anasema hii picha sio ya Kenya. What advise can we give him my fellow Kenyans?
![]()
Si umetaka jengo la Pension km cbk Pension tower au?Hivi hii ni ya BOT?![]()
![]()
![]()
Ndio hizo zingine. Usicheze na the biggest milk producer in Africa.Kwahiyo picha hii ni sawa na uliyoleta?
![]()
Wewe ujinga utakuuwa, wewe huoni hiyo barabara imekamilika hadi magari yanaitumia?
Kenya tena ndaaaaani!!Pwahahaha ile picha uliyoweka siyo ya Kenya. Kubali kwanza kisha tuendelee.
Mzee wa maziwa vipi una own ng'ombe wangapi!? Au unatuwekea Ng'ombe wa mama Ngina!?Mbona mimi naona vumbi? 🤣 🤣
Kwahiyo ni central bank au ni office tower.Mbona unasumbuka kijana wa Tandale? You can shout at the top of your voice from your uswazi hovel but you can't change this fact
View attachment 1993784View attachment 1993788View attachment 1993789
Kumbe hujui historia, pwani ya Africa mashariki ilikuwa na ya majengo yake hata kabla ya wageni kuja. Ukiangalia kwa makini majengo ya zamani ya Dar, Tanga na Bagamoyo utaona yana utofauti na yale ya Zanzibar. Yale ya Zanzibar yanafanana na yale ya Omani wakati yale ya bara yanafanana na majengo ya zamani ya himaya za Kilwa na Mwenemutapa.Mwenye anaongea juzi juzi amekuwa akisifia ikulu inayojenga design ya msikiti was kiarabu.
Hehehe, naona inakuuma. Hivi hujui the biggest milk producer in Africa ni nani?Ng'ombe 6 waliokondeana ndio bigges milk production pwahahahaha. Tembea uone mwanangu acha kujifungia kibera.
Miguu fito na goti



rangi tofauti
... janja yako ya kutaka nikutumie picha kali upigie nyeto kisha kesho ukabake kuku na mbuzi nimekustukia 



