Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kuna Forodhani secondary school,wizara ya maji,jengo la posta na jengo la Toyota Tanzania. Ofisi ya makamu wa Rais ni lipi hapo?
Kama hiyo sio vice President`s office then show us his office.
 
Mimi bado nataka kujua kwanini munaendesha nchi ndani ya kibanda cha kuku. A whole vice president anaingiaje kwa hili tundu. [emoji848] Yani hii ndio ilikua offisi ya Mama akiwa makamu rais.

View attachment 1993631
It shows that our leaders are for serving people, that's why cost of running GoT is ten times less than you Kunyans, big portion of our Government's revenues go to the development projects, nor wonder we can build the biggest hydroelectricity dam in EAC
 
Mambo ya kawaida Kenya ni;
1) Corruption
2)Tribalism
3)Slums
4)Hunger
5) Crime
6) Political violence
7) Nepotism
8)Terrorism
9)Ugly ladies
10),,[emoji23][emoji23]
Wenye njaa ndio hawa

1635695985112.png
 
Nasikia njaa imetangazwa rasmi kuwa nembo ya taifa la Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly, serikali inayojali wananchi. Sio hapo kwenu njaa inawatafuna na serikali inaban kureport kuhusu hiyo njaa. Tunasikia tu from foreign journalists ambao bado wanabanwa ila sio waoga kama hao vilaza wa kwenu.
 
UN Jana imetangaza kwamba Tanzania inaongoza dunia kwenye Kasi ya kufikia "food security", habari hiyo unayo?[emoji13][emoji13][emoji13]

Ninyi ni taifa la njaa njaa tu, you depend on us for your food requirements.
 
So far we have already released $5B for the three phases underconstruction, while we have received less than $1B from finance institutions[emoji23]
I like your dream, continue dreaming you may reach the enchanted kingdom.
 
UN Jana imetangaza kwamba Tanzania inaongoza dunia kwenye Kasi ya kufikia "food security", habari hiyo unayo?[emoji13][emoji13][emoji13]

Ninyi ni taifa la njaa njaa tu, you depend on us for your food requirements.

Modern Dairy Farm hiyo. from the biggest milk producer in Afrika - Kenya.

1.PNG
 
Back
Top Bottom