Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1993694
Umeona vyenye tz tunafanya kwenye utalii .. haya shindanisha hizo headquarters zenu za utalii na hii ofisi ya Ngorongoro national park, it's done [emoji736] by the government of Tanzania ..yani wanyama wanavyozurura kule mbugani wanaonekana live ndani ya hili jengo.. nyie hamtuwezi bandugu.. for more information pitia hapa [emoji116] . [emoji23][emoji23] Kama utakua umeumia pole .. kesho usitake kuijua tz kiundani utapata pressure bure we endelea kujiaminisha tu kwamba mmetupita[emoji23][emoji23][emoji23]. By the way it's 18 floors building
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbingu na ardhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania ministry of finance building
images (24).jpeg


Kenya ministry of finance building
images (25).jpeg
images (26).jpeg
 
Nairobi is sweet. This is the reason tanzanians hawakuwa wanataka expressway ijengwe, they feared it will expose the beauty of Nairobi.

tapatalk_1635701424139.jpeg
 
Back
Top Bottom