Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yetu haijafika hata hiyo 12 floors but the difference is like day and night.
Ndiyo mmekuja kusaidiana ili kupotezea mada ya the biggest university library in Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndiyo mmekuja kusaidiana ili kupotezea mada ya the biggest university library in Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mada ni Nairobi vs Dar. Kama unaumwa lamba chumvi.
Sasa ona National Archives yenu pia vile imechakaa. Serikali yenu haina aibu hata kidogo mbele ya wageni. Hakuna mtalii atakubali kuingia kwa hiki kibanda, limejaa kutu. 😂😂😂😂

images (15).jpeg
 
Ndiyo mmekuja kusaidiana ili kupotezea mada ya the biggest university library in Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Biggest library yenye hutawahitumia wewe class seven dropout
 
Mulipewa Loan, wacha kulia. Hata iko kwa website ya Standard Chartered Bank.
We ni chizi sijawai kuona..kwani mm nimesemaje si nimesema tumepewa loan moja tu ya Standard Chartered..1.46bil usd..Mimi ambacho tunazozana ni kwamba phase 1 mnasema tumepewa 1.2bi kutoka Turkey ..ndo nataka unipe source ambayo sio gazeti lenu la the East African ..maana tunajua its a corrupt paper
 
Back
Top Bottom