Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisemi kitu😁😂
Africa's Fintech Hub Modern Library vs Maktaba cha kijiji cha wavuvi wavivu.

IMG_20211030_234123.jpg


images (7).jpeg
 
Anytime Tanzania mkijenga jengo linalofurahisha macho huwa mnatumia Wabunifu wa Kenya. Mbona hapa UDOM hamngewachukua wawatolee kitu kali? Yani your government decides to build something from scratch halafu munatoa kitu ovyo hivi? Hata MPESA School built by the GoK in conjuction with Safaricom is much better yet it's just a high school. game over The best 007 NDINDA anataka kulia.

View attachment 1992674View attachment 1992675View attachment 1992676View attachment 1992677
kali sana💥💥! its lit!
 
Anytime Tanzania mkijenga jengo linalofurahisha macho huwa mnatumia Wabunifu wa Kenya. Mbona hapa UDOM hamngewachukua wawatolee kitu kali? Yani your government decides to build something from scratch halafu munatoa kitu ovyo hivi? Hata MPESA School built by the GoK in conjuction with Safaricom is much better yet it's just a high school. game over The best 007 NDINDA anataka kulia.

View attachment 1992674View attachment 1992675View attachment 1992676View attachment 1992677
Unfortunately your buildings do collapse every after one week,,,,
 
All of them

Sasa hapo unakuwa huna tofauti na watu Wa kibera, unatumia mihemko bila ya facts …
You know that financing a multi bilioni project by loan is a very transparent process, and you can’t bring a single evidence of a creditor financing JNHEP, SGR phase 1 & 5, ATCL etc..
I hope you know there is no creditor that will finance the Government buying aircrafts,
It is very clear and known to everyone that our SGR phase two was partly financed by AfDB,
Wakati mwingine muache wivu, kama Nchi yenu haiwezi kufadhiri miradi yake basi msijifariji kwa kudhani na nchi nyingine haziwezi.
 
Sisemi kitu😁😂
Africa's Fintech Hub Modern Library vs Maktaba cha kijiji cha wavuvi wavivu.

View attachment 1992699

View attachment 1992701
😂😂😂 Unatafuta picha za miaka 10 iliyopita kulinganisha na hilo jengo lenu jipya baya la maktaba.? 😂😂 Naona mnapost upande upande hamtaki kuweka jengo lenyewe tulione linafananaje, alright usijali ntakusaidia kupost hapa 👇
library-kenya.jpg
KNLS-30.jpg
the so called national library ☝️😂😂😂..mmeona sasa hiyo library ilivyo na sura mbaya.. eti National library na upo hapa kupiga kelele eti facilities za tz hazipendezi machoni😂😂 umeona huo uchafu wenu hapo juu, pumbavu.. jifunze kitu hapa 👇
EimFIJoXkAEZ_jr.jpg
UDSM Library.jpg
EHsX21EW4AEkFyp.png
20190304_092457_UNIT_PHOTO_55_CUSTOM_PAGE_WELCOME TO CI.jpg
udsm_library_1635632395346169.jpg
udsm_library_1635632395347743.jpg
udsm_library_1635632395347999.jpg
udsm_library_1635632838118862.jpg
udsm_library_163563283812780.jpg
. NB. Hapa sio china wala America ni Tanzania .. tofauti ya hizo facilities mbili hapo juu ni kama mbingu na ardhi 😂😂😂 sasa kama campus library ni kali hivi vipi na sie tujenge national library.?
 
Miradi mingi naona inasua sua Hapa Dar sijui huko mikoani
Asilimia 70% ya miradi imebuma kabisa hakuna anaye fuatiria mawaziri wana komba pesa za serikali bila wasiwasi wowote ,na wanasema kabisa lazima wawakomeshe watz kwa kumkubali magufuli sasa hivi hatujui kitu gani kina fanywa na mawaziri na manaibu waziri siku kwa siku ,tunamwona mnafiki waziri mkuu akijidai kufokea watu wa chini wakati mawaziri wa hizo wizara wapo awafanyi kitu chochote huyu mama ana laana furani licha ya kielelezo cha magufuli lakini hakuna anachojari,kazi ni kuamasisha chanjo feki na jinsia tu ,mm naona hata 2025 ni mbal8 sana kumwacha madarakani raisi wa ovyo namna hii
 
Dar imebadilika sn mkuu, ona hapa baada ya kuwatoa wamachinga, angalia picha hizi nimepiga mwenyewe leo maeneo ya kisutuView attachment 1992285View attachment 1992286View attachment 1992287View attachment 1992288View attachment 1992289View attachment 1992290View attachment 1992293
Tatizo la wamachinga ni uchafu na kutokuthamini fursa wanazo pewa ,hata kufagia maeneo wanayo fanyia kazi ni shida mimi napendekeza hata bodaboda na bajaji ziondoke mjini zibaki tax tu na kama bodaboda wakiruhusu basi waweke sheria ya bodaboda mpya zisizo zidi mwaka na nusu na wapewe plate no special tofauti na bodaboda wengine pia zile pikipiki mayai mayai ndiyo zinge ruhusiwa mijini chini ya mfumo huo na kuondoa boksa mijini, pia mabasi mabovu yapigwe marufuku mijini sasa hivi kuna mabasi mabovu na machafu yana ruhusiwa kufanya kazi mijini ,rangi zimechoka ,mabasi yana kutu viti vibovu na vichafu ,sasa hivi madereva wapuuzi wanaoendesha mabasi vibaya wamerudi baada ya mama kukemea polisi kutokuwabana wenye magari ...ajali zimeongezeka mara 3 ya wakati wa magufuli sijui viongozi awaoni hii kitu huyu Raisi ni jipu sijui kama anafanya kazi kwa kutumia takwimu ,maana angekuwa anatumia takwimu angejua upuuzi wake
 
Donation from China. It's such a shame that a whole country like Tanzania can't afford to build a single library by her own means.
Sasa nyinyi wakunya magorofa yote mnayo post humu ni ya wageni kwa 90% reli ya mchina ,ile mabarabara ya wachina mtalipia pesa kuyatumia ,ndege za KQ siyo zenu nk k8le chenye mkunya anamiliki ni slum na flytoilet zake
 
View attachment 1992720View attachment 1992721View attachment 1992722View attachment 1992723
Kuna mpuuzi mara ooh majengo ni mabaya mara Ooh hakuna land scaping haya nikakuletea karibu ili ujionee .. I'm talking to you nairobae pamoja na wewe NairobiWalker .. njooni mlete majibu now

Haya majina mawili ( Nairobery na Nairobi Walker Huko nyuma yalikua yanaheshimika sana na kule Skyscrapercity yalikuwepo, kwa kuongea points na Discussion nzuri, Siku hizi sijui Account wamemuuzia Bwana Mapesa .

Kuna Msela mwingine kule SSC anaitwa Kenguy sijui, huyu Jamaa mstaarabu sana. Kama Mkuu wetu Bantugbro hapa, watu wakali sana na wastaarabu Nondo tupu.
 
Sasa nyinyi wakunya magorofa yote mnayo post humu ni ya wageni kwa 90% reli ya mchina ,ile mabarabara ya wachina mtalipicha pesa ,ndege za KQ siyo zenu nk k8le chenye mkunya anamiliki ni slum na flytoilet zake
Umekasirikaee
Donation ni ujinga sana yani, tena donations kwenu miundombinu aisee..yani inatia aibu sana
 
Unatafuta picha za miaka 10 iliyopita kulinganisha na hilo jengo lenu jipya baya la maktaba.? Naona mnapost upande upande hamtaki kuweka jengo lenyewe tulione linafananaje, alright usijali ntakusaidia kupost hapa View attachment 1992724View attachment 1992754the so called national library ..mmeona sasa hiyo library ilivyo na sura mbaya.. eti National library na upo hapa kupiga kelele eti facilities za tz hazipendezi machoni umeona huo uchafu wenu hapo juu, pumbavu.. jifunze kitu hapa View attachment 1992726View attachment 1992727View attachment 1992728View attachment 1992730View attachment 1992731View attachment 1992732View attachment 1992733View attachment 1992741View attachment 1992744. NB. Hapa sio china wala America ni Tanzania .. tofauti ya hizo facilities mbili hapo juu ni kama mbingu na ardhi sasa kama campus library ni kali hivi vipi na sie tujenge national library.?
Donation
Aibu sana
 
Back
Top Bottom