kuna kitu kinaitwa scheduled maintenance.. kwamba unapofanyia maintenance engine moja.. bas unaruhusu engine nyingine ifanye kazi ili umeme iwepo.. Kinyerezi 1 kuna engines/turbines 4.. ndan ya mwez mmoja zote zinafanyiwa maintenance ila mbili zinafanyiwa maintenance ndan ya wiki mbili (siku za weekends).. nyingine wiki mbili zilizobaki (siku za weekends).. engines mbili zinapofanyiwa maintenance, mbili nyingine zinafanya kazi kufua umeme..zitafanyiwa maintenance wiki zinazokuja.. sasa huyu jamaa anaposema hatufanyi maintenance katuvunja mioyo sana.. imefika mahal wanaomba aondolewe analeta ujuaji na siasa kwenye mambo muhimu .. hamna kitu.. ni bure kbsa.. ningeonyesha screeenshot watu/managers/engineers wa Tanesco wanavyomsema kwenye grup whatsapp ila sababu za privacy wacha nisitoe