Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba ni Rais mbovu kuliko wote waliowahi kutokea Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Urafiki nje ya ukweli ni unafiki! Get to know the genesis ya hili! Ni kueleza mabaya ya Magufuli! I have nothing to fear and no one will cow me down on that! Just like they peddle his good i have the right to peddle his bad in the honor of those lost souls!
 
Kwamba ni Rais mbovu kuliko wote waliowahi kutokea Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo Fala Ana kichwa kizuri sema hajui hata anasimamia nini. Imagine watu kama Hawa ndio wanafanya maamuzi kwa maslahi ya wengine . Shame .
 
Naona mnaanza kujaza maji kwenye bwawa lenu? Ni hatua nzuri.
Huu mradi ukimalizika Kenya lazima ichague Kati ya
1)Kununua umeme wa Tanzania ili kuokoa "Manufacturing Industry" kwa gharama ya kulidhoofisha uzalishaji umeme Kenya

Au

2)Kuacha Kununua umeme wa Tanzania ili kuwalinda wazalishaji umeme wa Kenya kwa gharama ya kudhohofisha viwanda vyenu.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Utalia utakavyo Ila inajulikana Tanzania makazi mengi high class ni ya Wahindi Na Waarabu. Benki zenu zenyewe hamna ya Mtanzania mweusi.
Wewe Tanzania umefika wapi ukaona upuuzi kama wa Kenya? Maana Mimi parklands, Nairobi west, south c, na ngara nakujua vizuri hata South b nimekaa pia🙂
 
Dah..

UK ilitoa tahadhari tarehe 15 October kuhusu viashiria vya shambulizi huko Kampala. Sasa leo naona mambo yametokea kweli.

Na siye hapa kwetu huko Mtwara kuna askari waligongwa halafu dereva akataka kuchukua bunduki zao! Naona tukio limekaushiwa kiaina ila sidhani kama alikuwa dereva wa kawaida! Tangu wale wa Cabo Delgado wasambaratishwe wamehamisha makazi nchi za jirani!
 
Back
Top Bottom